ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Katika Kumjua Mungu / 1 Dec 2024 / Rev. Dr. Eliona Kimaro

Автор: Rev. Dr. Eliona Kimaro

Загружено: 2024-12-02

Просмотров: 14145

Описание: IBADA YA JUMAPILI YA KUSIFU NA KUABUDU* 01/ 12/ 2024

UJUMBE WA LEO : "KATIKA KUMJUA MUNGU"

Yeremia 31 : 31 - 34
2 Petro 1 : 2
Hosea 6 : 3

Yeremia 31 : 31 - 34

31 Angalia, siku zinakuja, asema Bwana, nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israeli, na nyumba ya Yuda.

32 Si kwa mfano wa agano lile nililolifanya na baba zao, katika siku ile nilipowashika mkono, ili kuwatoa katika nchi ya Misri; ambalo agano langu hilo walilivunja, ingawa nalikuwa mume kwao, asema Bwana.

33 Bali agano hili ndilo nitakalofanya na nyumba ya Israeli, baada ya siku zile, asema Bwana; Nitatia sheria yangu ndani yao, na katika mioyo yao nitaiandika; nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.

34 Wala hawatamfundisha kila mtu jirani yake, na kila mtu ndugu yake, wakisema, Mjue Bwana; kwa maana watanijua wote, tangu mtu aliye mdogo miongoni mwao hata aliye mkubwa miongoni mwao, asema Bwana; maana nitausamehe uovu wao, wala dhambi yao sitaikumbuka tena.

2 Petro 1 : 2

2 Neema na iwe kwenu na amani iongezwe katika kumjua Mungu na Yesu Bwana wetu.

Hosea 6 : 3

3 Nasi na tujue, naam, tukaendelee kumjua Bwana; kutokea kwake ni yakini kama asubuhi; naye atatujilia kama mvua, kama mvua ya vuli iinyweshayo nchi.

Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro

Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Katika Kumjua Mungu /  1 Dec 2024 / Rev. Dr. Eliona Kimaro

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

ADAMU UKO WAPI? (ADAM, WHERE ARE YOU?)

ADAMU UKO WAPI? (ADAM, WHERE ARE YOU?)

REV. DR. ELIONA KIMARO: MANENO YA WATU

REV. DR. ELIONA KIMARO: MANENO YA WATU

KUTANA NA WEWE(INNER TALK / SELF TALK

KUTANA NA WEWE(INNER TALK / SELF TALK

HAYA NI MAAJABU YA UWEZO ULIONAO ~ Dr. Eliona Kimaro

HAYA NI MAAJABU YA UWEZO ULIONAO ~ Dr. Eliona Kimaro

KITABU CHA WANAOMTUMIKIA BWANA | PASTOR WILSON CHOMBO | JUMATATU - 09/02/2026

KITABU CHA WANAOMTUMIKIA BWANA | PASTOR WILSON CHOMBO | JUMATATU - 09/02/2026

VIDEO: MSAFARA ULIOBEBA JENEZA LENYE MWILI wa KARDINALI PENGO UKIELEKEA KANISANI....

VIDEO: MSAFARA ULIOBEBA JENEZA LENYE MWILI wa KARDINALI PENGO UKIELEKEA KANISANI....

NAMNA YA KUTUMIA SALA YA BWANA KAMA NJIA MOJAWAPO YA KUTAFUTA UFALME WA MUNGU

NAMNA YA KUTUMIA SALA YA BWANA KAMA NJIA MOJAWAPO YA KUTAFUTA UFALME WA MUNGU

AMELAANIWA MTU AFANYAYE KAZI KWA ULEGEVU / REV. DR. ELIONA KIMARO

AMELAANIWA MTU AFANYAYE KAZI KWA ULEGEVU / REV. DR. ELIONA KIMARO

VERY SHOCKING! Ni Balaa Juu ya Balaa!

VERY SHOCKING! Ni Balaa Juu ya Balaa!

FAHAMU SIRI YA KUMPENDA MUNGU || PASTOR GEORGE MUKABWA || 24/08/2025

FAHAMU SIRI YA KUMPENDA MUNGU || PASTOR GEORGE MUKABWA || 24/08/2025

ANGALIA SANA USIYAHARIBU MAISHA YAKO NAMNA HII - Rev. Dr. Kimaro | #NIDHAMU

ANGALIA SANA USIYAHARIBU MAISHA YAKO NAMNA HII - Rev. Dr. Kimaro | #NIDHAMU

REV. DR. ELIONA KIMARO: ADABU ILIYOBEBA HATIMA 'SELF-DISCIPLINE'

REV. DR. ELIONA KIMARO: ADABU ILIYOBEBA HATIMA 'SELF-DISCIPLINE'

UJUMBE HUU NI WAKO | MUNGU ATAKUFURAHISHA | HAIJALISHI UNAPITIA NINI WAKATI HUU ~ Rev. Eliona Kimaro

UJUMBE HUU NI WAKO | MUNGU ATAKUFURAHISHA | HAIJALISHI UNAPITIA NINI WAKATI HUU ~ Rev. Eliona Kimaro

Pastor Fred Msungu - Siri za Kumjua Mungu (Part 1 )

Pastor Fred Msungu - Siri za Kumjua Mungu (Part 1 )

REV. DR. ELIONA KIMARO: USIKU ULE/ THAT NIGHT/ IBADA YA ALHAMISI KUU

REV. DR. ELIONA KIMARO: USIKU ULE/ THAT NIGHT/ IBADA YA ALHAMISI KUU

Если у тебя спросили «Как твои дела?» — НЕ ГОВОРИ! Ты теряешь свою силу | Еврейская мудрость

Если у тебя спросили «Как твои дела?» — НЕ ГОВОРИ! Ты теряешь свою силу | Еврейская мудрость

Namna gani unaweza kuongeza kasi ya kutimiza maono yako

Namna gani unaweza kuongeza kasi ya kutimiza maono yako

"MAAMBUKIZI YA NISHATI - HISIA" (EMOTIONAL CONTAGION) / REV.DR. ELIONA KIMARO

HOSANNA EXPERIENCE 2024 | NATHANIEL BASSEY | 6TH EDITION | LIVE

HOSANNA EXPERIENCE 2024 | NATHANIEL BASSEY | 6TH EDITION | LIVE

NI PALE UNATAMANI KITU KITOKEE LAKINI KIMYA! -

NI PALE UNATAMANI KITU KITOKEE LAKINI KIMYA! - "INAUMA..! ILA WAIT IN SILENCE." ~ Rev. Eliona Kimaro

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]