ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

"MAAMBUKIZI YA NISHATI - HISIA" (EMOTIONAL CONTAGION) / REV.DR. ELIONA KIMARO

Автор: Rev. Dr. Eliona Kimaro

Загружено: 2025-12-11

Просмотров: 3929

Описание: IBADA YA JUMAPILI - KUSIFU, KUABUDU NA FUNGU LA KUMI 07 DECEMBER 2025

MADA:
"MAAMBUKIZI YA NISHATI - HISIA"
(EMOTIONAL CONTAGION)

LUKA 1:67 - 75
1SAMWEL 19: 18-24

Luka 1 : 67 - 75
67 Na Zakaria, baba yake, akajazwa Roho Mtakatifu, akatabiri, akisema,

68 Atukuzwe Bwana, Mungu wa Israeli, Kwa kuwa amewajia watu wake, na kuwakomboa.

69 Ametusimamishia pembe ya wokovu Katika mlango wa Daudi, mtumishi wake.

70 Kama alivyosema tangu mwanzo Kwa kinywa cha manabii wake watakatifu;

71 Tuokolewe na adui zetu Na mikononi mwao wote wanaotuchukia;

72 Ili kuwatendea rehema baba zetu, Na kulikumbuka agano lake takatifu;

73 Uapo aliomwapia Ibrahimu, baba yetu,

74 Ya kwamba atatujalia sisi, Tuokoke mikononi mwa adui zetu, Na kumwabudu pasipo hofu,

75 Kwa utakatifu na kwa haki Mbele zake siku zetu zote.

1 Samwel 19 : 18 - 24

18 Hivyo Daudi akakimbia, akajiponya, akamwendea Samweli huko Rama, akamwambia hayo yote Sauli aliyomtenda. Kisha yeye na Samweli wakaenda na kukaa katika Nayothi.

19 Naye Sauli akaambiwa, kusema, Angalia, yule Daudi yuko katika Nayothi, huko Rama.

20 Basi Sauli akatuma wajumbe ili kumkamata Daudi; nao hapo walipowaona jamaa ya manabii wakitabiri, na Samweli amesimama kama mkuu wao, roho ya Mungu ikawajilia wajumbe wa Sauli, nao pia wakatabiri.

21 Naye Sauli alipoambiwa, alituma wajumbe wengine, wao nao wakatabiri. Naye Sauli akatuma wajumbe tena mara ya tatu, na wao pia wakatabiri.

22 Kisha yeye mwenyewe akaenda Rama, akafika kunako kile kisima kikubwa kilicho huko Seku; akauliza, akasema, Je! Wako wapi Samweli na Daudi? Na mtu mmoja akajibu, Tazama, wako Nayothi, huko Rama.

23 Basi akaenda Nayothi huko Rama, na roho ya Mungu ikamjilia yeye naye, akaendelea mbele, huku anatabiri, mpaka kufika Nayothi huko Rama.

24 Naye akavua nguo zake, akatabiri mbele ya Samweli, akalala uchi mchana kutwa na usiku kucha siku ile. Kwa hiyo watu husema, Je! Sauli pia yumo miongoni mwa manabii?

HOJA ZA MSINGI ZA KIFALSAFA NA KITHEOLOJIA

1. UTABIRI WA ZAKARIA:

"TUOKOLEWE NA ADUI ZETU NA MIKONONI MWAO WOTE WANAOTUCHUKIA"

.. MUNGU AKUJALIYE KUWA!!!

2. NINI MAANA HASA YA NISHATI - HISIA?

KUNA FAIDA NA HASARA GANI NDANI YAKE?

Hii ni EMOTIONAL CONTAGION

Haya ni MAAMBUKIZI ya NISHATI - HISIA ilioko ndani ya mtu kwenda kwa mtu mwingine bila kutumia nguvu kubwa au maneno mengi.

3. BIBLIA INASEMAJE KUHUSU MAAMBUKIZI YA NISHATI - HISIA?

MFANO MKUBWA KATIKA BIBLIA NI DAUDI NA SAMWEL HUKO RAMA.

(RAMA COVERAGE)

HOW ABOUT FAMILY COVERAGE?

HOW ABOUT SOCIETY COVERAGE?

HOW ABOUT YOUR TOTAL LIFE COVERAGE ?

WASWAHILI WANASEMA NIONYESHE RAFIKI ZAKO NAMI NITAKUAMBIA TABIA YAKO NA UWEZO WAKO.

Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
"MAAMBUKIZI YA NISHATI - HISIA" (EMOTIONAL CONTAGION) / REV.DR. ELIONA KIMARO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

HABARI NJEMA  (GOOD NEWS) REV. DR. ELIONA KIMARO

HABARI NJEMA (GOOD NEWS) REV. DR. ELIONA KIMARO

KUJALIWA KUWA (GOD AT WORK) / REV. DR. ELIONA KIMARO

KUJALIWA KUWA (GOD AT WORK) / REV. DR. ELIONA KIMARO

Israel Mbonyi - Swahili Collection (2024)

Israel Mbonyi - Swahili Collection (2024)

WEWE USIKUBALI / REV. DR. ELIONA KIMARO

WEWE USIKUBALI / REV. DR. ELIONA KIMARO

#REV.DR.#ELIONA KIMARO #USHUHUDA||NDUGU WANAOTOANA KAFARA.

#REV.DR.#ELIONA KIMARO #USHUHUDA||NDUGU WANAOTOANA KAFARA.

TAR::16/12/2025::GIZA LA MAISHA || PR.DAVID MMBAGA

TAR::16/12/2025::GIZA LA MAISHA || PR.DAVID MMBAGA

Bilionea Alimuona Msichana Maskini Amevaa Mkufu Wake Uliopotea Kile Alichokifanya Kilishangaza#tales

Bilionea Alimuona Msichana Maskini Amevaa Mkufu Wake Uliopotea Kile Alichokifanya Kilishangaza#tales

KUWA HAI KWA MAMBO YA HAKI / REV. DR. ELIONA KIMARO

KUWA HAI KWA MAMBO YA HAKI / REV. DR. ELIONA KIMARO

FAHAMU NGUVU YA MAOMBI USIKU WA MANANE.

FAHAMU NGUVU YA MAOMBI USIKU WA MANANE.

JINSI YA KUHARIBU SHAMBULIZI LA KIROHO  || PASTOR GEORGE MKABWA  || 06/11/2025

JINSI YA KUHARIBU SHAMBULIZI LA KIROHO || PASTOR GEORGE MKABWA || 06/11/2025

Paul Clement ft Pastor Fred Msungu - Ahadi ( Official Video )

Paul Clement ft Pastor Fred Msungu - Ahadi ( Official Video )

KUBALI KUWA MKATE WA DUNIA / REV. DR. ELIONA KIMARO

KUBALI KUWA MKATE WA DUNIA / REV. DR. ELIONA KIMARO

HUTATOKA KITUPU (THE POWER OF EMPTINESS) / REV. DR. ELIONA KIMARO

HUTATOKA KITUPU (THE POWER OF EMPTINESS) / REV. DR. ELIONA KIMARO

UKIELEWA FALSAFA HII BIDII YAKO ITAKULETEA MAFANIKIO MARA DUFU, #USTAWI ~ Rev. Dr. Eliona Kimaro

UKIELEWA FALSAFA HII BIDII YAKO ITAKULETEA MAFANIKIO MARA DUFU, #USTAWI ~ Rev. Dr. Eliona Kimaro

NYIMBO ZA WOKOVU MIX NON-STOP - DEEP RELAX SWAHILI WORSHIP SONGS

NYIMBO ZA WOKOVU MIX NON-STOP - DEEP RELAX SWAHILI WORSHIP SONGS

MATENDO YAKO YATAKUFUATA / REV. DR. ELIONA KIMARO

MATENDO YAKO YATAKUFUATA / REV. DR. ELIONA KIMARO

Life in Christ XI

Life in Christ XI

Mwl. Mwakasege: Unaweza Kuinuka Baada ya Anguko — Usiogope!

Mwl. Mwakasege: Unaweza Kuinuka Baada ya Anguko — Usiogope!

MAOMBI YA ASUBUHI ::: NGUVU YA ZABURI YA 91 ::: MCH DAVID MMBAGA

MAOMBI YA ASUBUHI ::: NGUVU YA ZABURI YA 91 ::: MCH DAVID MMBAGA

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 18 DECEMBER 2025

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 18 DECEMBER 2025

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]