REV. DR. ELIONA KIMARO: USIKU ULE/ THAT NIGHT/ IBADA YA ALHAMISI KUU
Автор: Rev. Dr. Eliona Kimaro
Загружено: 2024-03-29
Просмотров: 8648
Описание:
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA ALHAMISI KUU NA KUSHIRIKI MEZA YA BWANA 28/ 03/ 2024
HII NI KWARESMA: SIKU YA 38
MADA:
NIDHAMU NI HATIMA
DISCIPLINE IS DESTINY
UJUMBE WA LEO:USIKU ULE/THAT NIGHT
NENO KUU
7 Bwana wa majeshi asema hivi,
Zitafakarini njia zenu.
Hagai 1 : 7
Mathayo 26 : 26 - 29
26 Nao walipokuwa wakila Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, Twaeni, mle; huu ndio mwili wangu
27 Akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, akisema, Nyweni nyote katika hiki;
28 kwa maana hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi.
29 Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.
Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: