ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

RC RUVUMA APONGEZA MRADI WA NISHATI SAFI WA JITEGEMEE HOLDING

Автор: MISALABA MEDIA

Загружено: 2026-02-04

Просмотров: 9

Описание: Kampuni ya Kitanzania ya Jitegemee Holding Company Limited, inayojihusisha na uchakataji na uuzaji wa makaa ya mawe , imeanzisha mradi wa nishati safi kwa kutumia makaa ya mawe kama sehemu ya kuunga mkono jitihada za serikali katika utunzaji wa mazingira na upatikanaji wa nishati mbadala.

Hayo yamebainika wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Abbass Ahmed, alipotembelea mgodi wa kampuni hiyo uliopo wilayani Mbinga, kwa lengo la kujionea hali halisi ya uendeshaji wa shughuli za uchimbaji na usindikaji wa makaa ya mawe pamoja na changamoto zinazowakabili katika shughuli zao

Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Mwenyekiti wa migodi makaa ya mawe Mkoa wa Ruvuma, Bosco Mabena, amesema licha ya kampuni kujihusisha na uchakataji na uuzaji wa makaa ya mawe, jambo lililomfurahisha zaidi Mkuu wa Mkoa ni hatua ya kampuni kuwekeza katika uchakataji wa nishati safi kwa kutumia mchanganyiko maalumu wa makaa ya mawe.

Mabena ameeleza kuwa mradi huo wa nishati safi unaendana na falsafa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, inayosisitiza matumizi ya nishati mbadala na rafiki kwa mazingira ili kupunguza uharibifu wa mazingira na kulinda rasilimali za asili.

Aidha, kampuni hiyo imeiomba serikali kupitia kwa Mkuu wa Mkoa kuwapatiwa shule mbili zitakazotumika za mfano (shamba darasa), zitakazosaidia kutoa elimu kwa jamii kuhusu matumizi ya nishati safi, huku akieleza kuwa tayari huduma hiyo imeanza kusambazwa katika mikoa mbalimbali nchini ikiwemo Mkoa wa Ruvuma.

Akizungumza Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brig. Kanali Abbass Ahmed, ameipongeza Jitegemee Holding Company Limited kwa kuanzisha mradi wa nishati safi, amesistiza kuwa hatua hiyo itasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza kasi ya ukataji wa miti na kuchangia katika uhifadhi wa mazingira kwa maendeleo endelevu ya mkoa na taifa kwa ujumla.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
RC RUVUMA APONGEZA MRADI WA NISHATI SAFI WA JITEGEMEE HOLDING

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

DAWATI LA JINSIA KAHAMA LAENDESHA MDAHALO WA WAZI KUPINGA UKATILI MAJUMBANI

DAWATI LA JINSIA KAHAMA LAENDESHA MDAHALO WA WAZI KUPINGA UKATILI MAJUMBANI

Коля-Киргиз: доил Казахстан, лез в Узбекистан. Как вор в законе заменил президента?

Коля-Киргиз: доил Казахстан, лез в Узбекистан. Как вор в законе заменил президента?

Inside the Bull Horn Leather Factory – (Full Process) How Million-Dollar Goods Are Made

Inside the Bull Horn Leather Factory – (Full Process) How Million-Dollar Goods Are Made

ANWANI ZA MAKAZI NGUZO MUHIMU YA UCHUMI WA KIDIJITALI

ANWANI ZA MAKAZI NGUZO MUHIMU YA UCHUMI WA KIDIJITALI

WAFANYABIASHARA SASA KUPATA HUDUMA ZAIDI YA 15 KUPITIA MFUMO WA IDRAS BILA KUFIKA TRA

WAFANYABIASHARA SASA KUPATA HUDUMA ZAIDI YA 15 KUPITIA MFUMO WA IDRAS BILA KUFIKA TRA

WIELKA WYPRAWA MARII WIERNIKOWSKIEJ W GŁĄB ROSJI #1

WIELKA WYPRAWA MARII WIERNIKOWSKIEJ W GŁĄB ROSJI #1

MWENYEKITI CCM KAHAMA AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 49 YA CCM,  MHONGOLO

MWENYEKITI CCM KAHAMA AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 49 YA CCM, MHONGOLO

MYSTERY: Inside the Modern Donkey Leather Factory | Hide to Luxury 2-in-1 Jacket (Full Process)

MYSTERY: Inside the Modern Donkey Leather Factory | Hide to Luxury 2-in-1 Jacket (Full Process)

Китайский Снегоход Sharmax ACE 1000 КОПИЯ  ski-doo...  Победа или провал?

Китайский Снегоход Sharmax ACE 1000 КОПИЯ ski-doo... Победа или провал?

🔴MALUMBANO YA HOJA  - FEBRUARI 05, 2026

🔴MALUMBANO YA HOJA - FEBRUARI 05, 2026

MAJIKO BANIFU YA RUZUKU YAPIGA HODI SHINYANGA

MAJIKO BANIFU YA RUZUKU YAPIGA HODI SHINYANGA

Prawda o kręceniu Terminatora szokuje

Prawda o kręceniu Terminatora szokuje

NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA AAGIZA KUKAMILISHWA HARAKA MRADI WA SOKO KUU LA MANISPAA YA SHINYANGA.

NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA AAGIZA KUKAMILISHWA HARAKA MRADI WA SOKO KUU LA MANISPAA YA SHINYANGA.

Inside the World’s Largest Ice Cream Factory: Making Millions of Popsicles Daily (Full Process) 🍦🏭❄️

Inside the World’s Largest Ice Cream Factory: Making Millions of Popsicles Daily (Full Process) 🍦🏭❄️

MWAKA MPYA WA MAHAKAMA, MAHAKAMA ZA MWANZO KAHAMA ZAVUKA NA KESI SIFURI

MWAKA MPYA WA MAHAKAMA, MAHAKAMA ZA MWANZO KAHAMA ZAVUKA NA KESI SIFURI

HOTUBA YA JAJI MFAWIDHI WA MAHAKAMA KUU KANDA YA SHINYANGA,MHESHIMIWA JOHN KAHYOZA

HOTUBA YA JAJI MFAWIDHI WA MAHAKAMA KUU KANDA YA SHINYANGA,MHESHIMIWA JOHN KAHYOZA

NGASA TEYARI KWA UZINDUZI WA WAILES SUPER CUP WILAYANI MBINGA

NGASA TEYARI KWA UZINDUZI WA WAILES SUPER CUP WILAYANI MBINGA

BROŃ JĄDROWA POZA KONTROLĄ. NOWY WYŚCIG NUKLEARNY

BROŃ JĄDROWA POZA KONTROLĄ. NOWY WYŚCIG NUKLEARNY

TANFORD YATANGAZA KONGAMANO LA KIMATAIFA LITAKALOFANYIKA DUBAI MWAKA HUU

TANFORD YATANGAZA KONGAMANO LA KIMATAIFA LITAKALOFANYIKA DUBAI MWAKA HUU

CCM KAHAMA YAENDELEA KUTATUA KERO ZA WANANCHI KUANZIA NGAZI YA SHINA, HBD CCM-49

CCM KAHAMA YAENDELEA KUTATUA KERO ZA WANANCHI KUANZIA NGAZI YA SHINA, HBD CCM-49

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]