ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

NGASA TEYARI KWA UZINDUZI WA WAILES SUPER CUP WILAYANI MBINGA

Автор: MISALABA MEDIA

Загружено: 2026-01-30

Просмотров: 44

Описание: Mrisho Ngasa, mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) na vilabu vikubwa vya Yanga, Simba na Azam FC, amewasili leo tarehe 30/01/2026 mkoani Ruvuma, tayari kwa ajili ya uzinduzi wa mashindano ya WAILES SUPER CUP yatakayofanyika wilayani Mbinga. Ujio wake umevutia hisia za wadau wa michezo na vijana wengi wanaopenda soka katika wilaya hiyo.

Akizungumza mara baada ya kuwasili, Ngasa amesema lengo kuu la mashindano hayo ni kuhakikisha kunakuwepo na uibuaji wa vipaji vipya vya soka kutoka ngazi ya chini. Ameeleza kuwa uzinduzi wa mashindano hayo kesho utakuwa fursa muhimu ya kuwaona na kuwachambua wachezaji wenye vipaji ambavyo bado havijapata nafasi ya kuonekana katika majukwaa makubwa.

Ngasa ameongeza kuwa wachezaji watakaobainika kuwa na uwezo mkubwa watachukuliwa na kujiunga na kituo chake cha Enjoy Soka, ambacho kinalenga kulea na kukuza vipaji vya vijana ili waweze kufikia ngazi za juu zaidi za soka kitaifa na kimataifa.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
NGASA TEYARI KWA UZINDUZI WA WAILES SUPER CUP WILAYANI MBINGA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

DAWATI LA JINSIA KAHAMA LAENDESHA MDAHALO WA WAZI KUPINGA UKATILI MAJUMBANI

DAWATI LA JINSIA KAHAMA LAENDESHA MDAHALO WA WAZI KUPINGA UKATILI MAJUMBANI

2026 MATALAMU NG'WANIKE

2026 MATALAMU NG'WANIKE

RC RUVUMA APONGEZA MRADI WA NISHATI SAFI WA JITEGEMEE HOLDING

RC RUVUMA APONGEZA MRADI WA NISHATI SAFI WA JITEGEMEE HOLDING

December 1, 2025

December 1, 2025

limbu luchagula ft nelemi mbasando wapigana ft mapacha kulwa na dotto mpya Official_video_audio

limbu luchagula ft nelemi mbasando wapigana ft mapacha kulwa na dotto mpya Official_video_audio

NASKIA UNAJIITA SULTAN, KUJA UAMBIE VIJANA WATAPATAJE KAZI KWA WIZARA YAKO! Ruto to Joho in Kilifi

NASKIA UNAJIITA SULTAN, KUJA UAMBIE VIJANA WATAPATAJE KAZI KWA WIZARA YAKO! Ruto to Joho in Kilifi

#2025 MANENO STEVEN afunguka MAZITO Wasanii WOTE MJIPANGE

#2025 MANENO STEVEN afunguka MAZITO Wasanii WOTE MJIPANGE

WAILES SUPER CUP KUPELEKA VIPAJI AKADEMY YA MRISHO NGASA (ENJOY SOKA ACADEMY)

WAILES SUPER CUP KUPELEKA VIPAJI AKADEMY YA MRISHO NGASA (ENJOY SOKA ACADEMY)

MAIMARTHA ATOBOA SIRI NDOA YA ESMA NA JEMBE ONE IMEVUNJIKA/NDOA YA RICARDO MOMO IMEVUNJIKA

MAIMARTHA ATOBOA SIRI NDOA YA ESMA NA JEMBE ONE IMEVUNJIKA/NDOA YA RICARDO MOMO IMEVUNJIKA

TANFORD YATANGAZA KONGAMANO LA KIMATAIFA LITAKALOFANYIKA DUBAI MWAKA HUU

TANFORD YATANGAZA KONGAMANO LA KIMATAIFA LITAKALOFANYIKA DUBAI MWAKA HUU

LIMBU  LUCHAGULA SONG MBINA AUDIO 16 12 2025

LIMBU LUCHAGULA SONG MBINA AUDIO 16 12 2025

CCM KAHAMA YAENDELEA KUTATUA KERO ZA WANANCHI KUANZIA NGAZI YA SHINA, HBD CCM-49

CCM KAHAMA YAENDELEA KUTATUA KERO ZA WANANCHI KUANZIA NGAZI YA SHINA, HBD CCM-49

RC MHITA AELEZA KINACHOENDELEA MGODI WA NYANDOLWA

RC MHITA AELEZA KINACHOENDELEA MGODI WA NYANDOLWA

Siasa - Nabhakinde Zeze (Official Video)

Siasa - Nabhakinde Zeze (Official Video)

🔴#LIVE:  MTUME BONIFACE MWAMPOSA BULLDOZER AKIONGOZA OPERATION KOMBOA FAMILIA

🔴#LIVE: MTUME BONIFACE MWAMPOSA BULLDOZER AKIONGOZA OPERATION KOMBOA FAMILIA

LIVE JOGA BONITO: SIMBA KUNAFUKA MOTO, MO APEWA MASAA 72 KUACHIA SIMBA/ VIONGOZI WAGAWANA UPANDE

LIVE JOGA BONITO: SIMBA KUNAFUKA MOTO, MO APEWA MASAA 72 KUACHIA SIMBA/ VIONGOZI WAGAWANA UPANDE

FROM DREAMS TO REALITY - Dem Wa Facebook’s  New Mansion House Tour

FROM DREAMS TO REALITY - Dem Wa Facebook’s New Mansion House Tour

LIVE: SPORTS XTRA YA CLOUDS FM I O5.02.2026.

LIVE: SPORTS XTRA YA CLOUDS FM I O5.02.2026.

DKT. LAZARO BUNUNGU ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA PERAMIHO

DKT. LAZARO BUNUNGU ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA PERAMIHO

Mayiku sayi na jiminigen dotto wagombana ft mapacha kulwa na dotto Officials video audio mpya 2025

Mayiku sayi na jiminigen dotto wagombana ft mapacha kulwa na dotto Officials video audio mpya 2025

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]