ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

MAWAKILI ZANZIBAR WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USAJILI WA NYARAKA NA MALI

Автор: ASAM Online TV

Загружено: 2026-03-07

Просмотров: 125

Описание: Mawakili wa Zanzibar wametakiwa kuwa makini katika kusajili nyaraka na mali pamoja na kufuata sheria zote za usajili ili kuepusha migogoro inayoweza kujitokeza katika jamii.

Wito huo umetolewa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara, Ndugu Seif Mohammed alipokuwa akifungua warsha ya siku moja iliyoandaliwa na Business and Property Registration Agency (BPRA).

Warsha hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil, Kikwajuni, Mkoa wa Mjini Magharibi, na imewakutanisha mawakili pamoja na wataalamu mbalimbali wa masuala ya sheria na usajili wa mali.

Akizungumza katika ufunguzi wa warsha hiyo, Ndugu Seif amesema ni muhimu kwa kila mwanasheria kuzingatia taratibu na misingi ya sheria katika kazi zao ili kuhakikisha sheria zinafuatwa kikamilifu, jambo litakalosaidia kuimarisha utendaji wao na kuleta ufanisi pamoja na utulivu katika sekta hiyo.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa BPRA, Ndugu Khamis Juma Khamis amesema taasisi hiyo imeamua kuwakutanisha mawakili na wasomi mbalimbali kwa lengo la kuwapatia elimu kuhusu sheria na kanuni za usajili wa nyaraka na mali.

Ameeleza kuwa hatua hiyo inalenga kuongeza uelewa kwa wataalamu hao ili waweze kufanya kazi zao kwa kuzingatia sheria pamoja na kutumia mifumo ya kisasa ya kielektroniki katika utekelezaji wa majukumu yao.

Nao baadhi ya mawakili walioshiriki katika warsha hiyo wameipongeza BPRA kwa kuandaa mkutano huo, wakisema utawasaidia kuongeza uelewa wa sheria na kuimarisha utendaji wao wa kazi badala ya kufanya kazi kwa mazoea.

#ASAMOnlineTV
#BPRA
#SheriaNaUsajili
#Zanzibar
#UtawalaBora

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MAWAKILI ZANZIBAR WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USAJILI WA NYARAKA NA MALI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

BALAA JIPYA, ZANZIBAR ITAKUA KAMA ULAYA, NYUMBA ZA KWA MJERU - KIKWAJUNI

BALAA JIPYA, ZANZIBAR ITAKUA KAMA ULAYA, NYUMBA ZA KWA MJERU - KIKWAJUNI

''ZANZIBAR IPEWE NAFASI'' MBUNGE KING ashusha PONTI kuhusu MUUNGANO

''ZANZIBAR IPEWE NAFASI'' MBUNGE KING ashusha PONTI kuhusu MUUNGANO

RAIS MWINYI AJUMUIKA NA WAUMINI FUTARI YA PAMOJA MJINI MAGHARIBI

RAIS MWINYI AJUMUIKA NA WAUMINI FUTARI YA PAMOJA MJINI MAGHARIBI

KIWANDA CHA SODA CHAZUNDULIWA RASMINI ZANZIBAR

KIWANDA CHA SODA CHAZUNDULIWA RASMINI ZANZIBAR

Mzee aliyeshiriki Mapinduzi ya Zanzibar (1964) asimulia mambo yalivyokuwa

Mzee aliyeshiriki Mapinduzi ya Zanzibar (1964) asimulia mambo yalivyokuwa

MOTO MKUBWA WATEKETEZA NYUMBA - GULIONI

MOTO MKUBWA WATEKETEZA NYUMBA - GULIONI

HAIJAWAHI KUTOKEA: SHEHA FUONI CHUNGA MTAA KWA MTAA RAMADHANI HII

HAIJAWAHI KUTOKEA: SHEHA FUONI CHUNGA MTAA KWA MTAA RAMADHANI HII

HOJA MEZANI | Ujenzi wa bandari Zanzibar utakavyoleta mapinduzi ya ajira kwa wazawa

HOJA MEZANI | Ujenzi wa bandari Zanzibar utakavyoleta mapinduzi ya ajira kwa wazawa

MVUA KUBWA YAVAMIA MAKAAZI YA WATU FUONI JANGAMAZINI

MVUA KUBWA YAVAMIA MAKAAZI YA WATU FUONI JANGAMAZINI

DJ SMA achambua KUHUSU USHIRIKIANO wa IRAN na URUSI ni HATARI KWENYE SILAHA dhidi ya MAREKAN/ISRAEL

DJ SMA achambua KUHUSU USHIRIKIANO wa IRAN na URUSI ni HATARI KWENYE SILAHA dhidi ya MAREKAN/ISRAEL

WAZIRI NADIR AHAKIKISHIA UMEME WA UHAKIKA ZANZIBAR IFIKAPO 2028

WAZIRI NADIR AHAKIKISHIA UMEME WA UHAKIKA ZANZIBAR IFIKAPO 2028

wezi wa mabilioni wapandishwa mahakamani na zaeca.

wezi wa mabilioni wapandishwa mahakamani na zaeca.

ДНК Помпей разрушила всё, что мы знали о Древнем Риме

ДНК Помпей разрушила всё, что мы знали о Древнем Риме

ISHU YA ZBC TV NA ACT WAZALENDO YAIBUKIA BARAZA LA WAWAKILISHI

ISHU YA ZBC TV NA ACT WAZALENDO YAIBUKIA BARAZA LA WAWAKILISHI

MHE. HEMED AWATAKA WAFANYABIASHARA KUTOPANDISHA BEI ZA VYAKULA RAMADHANI

MHE. HEMED AWATAKA WAFANYABIASHARA KUTOPANDISHA BEI ZA VYAKULA RAMADHANI

Почему без деколонизации Россия не изменится. Объясняет эксперт

Почему без деколонизации Россия не изменится. Объясняет эксперт

RASMI WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR KUONDOA MFUMO WA

RASMI WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR KUONDOA MFUMO WA "SHIFT" KWA WANAFUNZI

HAWA HAPA MADAKTARI WALIYO STAAFU NDANI YA IDARA YA CHUO CHA MAFUNZO ZANZIBAR.

HAWA HAPA MADAKTARI WALIYO STAAFU NDANI YA IDARA YA CHUO CHA MAFUNZO ZANZIBAR.

SABRA MACHANO: Nilifukuzwa kazi ZSSF kisa natembea na RAIS

SABRA MACHANO: Nilifukuzwa kazi ZSSF kisa natembea na RAIS

FOLENI SASA BASI BUBUBU BARAZA LA WAWAKILISHI LAJADILI UJENZI WA MADARAJA  ZANZIBAR

FOLENI SASA BASI BUBUBU BARAZA LA WAWAKILISHI LAJADILI UJENZI WA MADARAJA ZANZIBAR

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]