JINSI YA KULINDA PESA YAKO NA KUITUNZA (MBINU 10 MUHIMU) | Michael Kamukulu
Автор: LENZI | Michael Kamukulu
Загружено: 2025-03-18
Просмотров: 15626
Описание:
💰 Njia 10 Bora za Kutunza, Kulinda, na Kuongeza Kipato Chako 💰
Unatafuta njia za kuongeza kipato, kutunza pesa, na kufikia uhuru wa kifedha? Ungana na Michael Kamukulu kupitia @lenzi.michaelkamukulu katika video hii anapoelezea mikakati bora ya kifedha ambayo itakusaidia kulinda kipato chako na kukifanya kikue. Utajifunza mbinu 10 zinazokuwezesha kutrengeneza, kutunza, kukuza na kulinda pesa yako. Endapo unataka kuboresha hali yako ya kiuchumi na kuhakikisha fedha zako zinafanya kazi kwa faida yako, hii ni video unayohitaji! Utafahamu kanuni muhimu za matumizi ya pesa, mbinu na njia za kujilazimisha kuweka akiba, maarifa ya kufanya na kujiendeleza katika uwekezaji, na siri zinazokufunulia kuhusu jinsi ya kujenga nidhamu ya fedha ili uweze kutimiza malengo yako. Kupitia haya utajifunza namna ya kujua tofauti katika ya njia za ukweli zinazokuletea pesa kirahisi na na utapeli unaowapotezea watu pesa kwa kutafuta utajiri kwa njia rahisi na za haraka. Utaweza kuziepuka njia zinazopoteza pesa yako kwa matumizi yasiyofaa. Zaidi, utaweza kujua njia za kubana matumizi huku ukiendelea kuifunza akili yako kutengeneza fedha zaidi.
Mambo Muhimu Utakayojifunza:
1. Weka akiba kwa mpangilio mzuri – Jifunze mbinu za kutunza pesa, ikiwa ni pamoja na kutumia standing orders (automated savings).
2. Wekeza sehemu ya kipato – Badala ya kuhifadhi pesa bila mpango, elewa njia salama za uwekezaji kwa faida ya muda mrefu.
3. Ongeza vyanzo vya kipato – Kuwa na chanzo zaidi ya kimoja cha mapato, kama vile kazi za online, biashara, na freelancing.
4. Elimu ya fedha na uwekezaji – Jifunze jinsi ya kusimamia fedha zako kwa busara ili usiharibu kipato chako kwa matumizi yasiyo na mpangilio.
5. Epuka madeni yasiyo na tija – Dhamira ya kukopa iwe kwa maendeleo na siyo kwa matumizi ya anasa.
6. Jenga nidhamu ya fedha – Elewa jinsi ya kudhibiti matumizi na kuongeza uwezo wa kuhifadhi na kuwekeza.
7. Uelewa wa kodi – Fahamu jinsi sheria za kodi zinavyoweza kuathiri biashara au kipato chako na njia bora za kuzipanga.
8 Ongeza thamani yako kazini au kwenye biashara – Jinsi ya kuongeza thamani yako kama mfanyakazi au mfanyabiashara ili uongeze kipato.
9. Usiwekeze kwenye eneo moja tu – Tafuta njia tofauti za uwekezaji ili kupunguza hatari za kifedha (diversification).
📌 Hii ni video muhimu kwa yeyote anayetamani kujenga utajiri wa muda mrefu, kuwa na uhuru wa kifedha na kuongeza vyanzo vya mapato.
🔥 BONYEZA SUBSCRIBE ili upate maarifa zaidi ya kifedha na maendeleo binafsi! 🔥
***
Jifunze jinsi ya kufanya ili uwe tofauti, na upate fursa na nafasi ya kuinuka na kusimama imara ukiwa kiongozi na mwongoza njia wa maisha yako na kuwa na ushawishi kwa watu wengi. Ungana na Michael Kamukulu kupitia @lenzi.michaelkamukulu na @lenzimeacademy ili uweze kupata maarifa na ujuzi utakaokubadilisha na kuwa na tabia za watu wenye mafanikio na matokeo makubwa kifedha na kimaisha kwa ujumla. Ni wakati wako kung'ara na kuwa mtu wa thamani zaidi kwa wengine na kwa maisha yako. Utajiri na umasikini vyote viko kwenye nguvu ya tabia, mienendo na maamuzi yako ya kila siku.
———————————————
Wasiliana nasi kwa huduma zaidi ikiwemo:
1. Mafunzo na mwongozo maalum wa kufikia malengo (personal/individual coaching)
2. Mafunzo na mwongozo maalum kwa makundi na taasisi (group coaching)
3. Ushauri wa kitaalam kuhusu maendeleo binafsi (personal development)
Mawasiliano yetu:
Simu: +255 752 465 039
Baruapepe: [email protected]
* *
Pata Kozi Kuhusu jinsi ya kujiajiri na kuongeza kipato kwa kutumia MAUDHUI kwa bei nafuu ya TZS 15,000 tu kupitia hapa https://tr.ee/UTrb-ghbfk
#HatuaMojaMbeleKilaSiku #michaelkamukulu #lenzimindset #lenziacademy
***
Time stamp
00:00 Kutunza PESA
00:37 Kuweka AKiba
01:40 Mifumo ya AKiba
02:44 Vyanzo vya kipato
03:35 Maarifa ya fedha
04:18 Epuka Madeni
05:18 Nidhamu ya fedha
06:02 Elimu ya Kodi
06:54 Ongeza Thamani
08:02 Wekeza
09:28 Closing
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: