AINA 4 ZA UWEKEZAJI BORA TANZANIA UNAO TENGENEZA MATAJIRI WAKUBWA | Victor Mwambene.
Автор: Victor Mwambene
Загружено: 2024-12-29
Просмотров: 63727
Описание:
Baada ya kutazama somo hili hadi mwisho utajifunza sehemu sahihi za wewe kuweka akiba yako na kuwekeza, Hapa utajifunza uwekezaji kwenye Hisa, Hatifungani au dhamana za serikali, Uwekezaji kwenye Mali na Uwekezaji wa pamoja hasa Utt Amis. Unaweza kujifunza mengi kwa kusoma kitabu changu cha Kanuni 20 za Fedha kwani nimefafanua kwa kirefu aina hizi za Uwekezaji.
.
Tafadhali Usiache Ku-SUBSCRIBE na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa ya somo jipya tunapo kuwekea.
.
KUMBUKA, Masomo haya yanakujia kila siku ya J’pili yenye lengo la kukusaidia kuwa na akili ya fedha pamoja na akili ya Biashara.
.
Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nami kwa 0744126640.
KUPATA VITABU PIGA 0744126640 / 0658503737.
1. KANUNI 20 ZA FEDHA.
2. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA.
3. NGUVU YA KUJUA
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: