Chuo cha Usafiri wa Anga cha TCIAA chapewa Ithibati na ICAO kufundisha usalama wa anga duniani
Автор: Azam TV
Загружено: 2022-09-03
Просмотров: 253
Описание:
Shirika la usafiri wa anga Duniani ICAO limekipa ithibati chuo cha usafiri wa anga cha Tanzania kutoa mafunzo ya kimataifa kwenye eneo la usalama la usafiri wa anga kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki na Magharibi.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Anga Hamza Johar amesema kuwa hatua itasaidia katika kuzalisha wataalamu wengi zaidi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: