Ajali ya "Uso kwa Uso" yaua watano na kujeruhi 54 Shinyanga
Автор: Azam TV
Загружено: 2022-09-03
Просмотров: 31836
Описание:
Watu watano wamefariki dunia na wengine 54 kujeruhiwa mkoani Shinyanga katika ajali iliyohusisha basi la abiria la kampuni ya Super Najimunisa (T413 DAY) lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mwanza kugongana uso kwa uso na Fuso ( T123 DJH) lililokuwa na shehena ya dagaa likielekea Dar es Salaam.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Shinyanga, ACP Leonard Nyandahu amesema ajali hiyo imetokea majira ya saa 8 na dakika 8 usiku katika mtaa wa Viwandani eneo la Ibidakuli manispaa ya Shinyanga.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: