WAZIRI AWESO KUMALIZA CHANGAMOTO YA MAJI HANDENI.
Автор: Tanga TV Online
Загружено: 2024-11-15
Просмотров: 173
Описание:
Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameanza ziara mkoani Tanga na kuwapongeza RUWASA DAWASA , HTM na Tanga Uwasa kwa usimamizi mzuri wa miradi ya Maji Wilayani Handeni.
Akiwa wilayani Handeni Aweso amesema katika uongozi wake wa Wizara ya maji wilaya ya Handeni haitakuwa na changamoto ya maji kabisa maana amepata ufumbuzi utakao ondoa kabisa changamoto hiyo.
Waziri Aweso yuko mkoani Tanga kwa ziara ya kukagua maendeleo ya miradi ya maji.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: