WAZIRI AWESO AVUNJA KAMATI YA MRADI WA MAJI KWAMSISI, WASIMAMIZI WAKAMATWA KWA UBADHIRIFU
Автор: MACHINGA TV
Загружено: 2024-12-23
Просмотров: 1823
Описание:
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso, amevunja Kamati ya Mradi wa Maji Kwamsisi na kuagiza kukamatwa kwa wasimamizi wote wa mradi huo kufuatia tuhuma za ubadhirifu wa fedha za wananchi. Katika ziara yake wilayani Handeni, Tanga, Waziri Aweso alibaini mapungufu makubwa katika usimamizi wa fedha na kutoa maelekezo ya kuchunguza matumizi yote ya mradi huo. Angalia video hii kwa taarifa kamili juu ya hatua zilizochukuliwa na Waziri Aweso dhidi ya dhuluma kwa wananchi wa Kwamsisi.
Mwandishi: John Mwonga
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: