IRAN YAACHIA VIDEO ya UZINDUZI wa MAKOMBORA HATARI 'QADR na EMAD' YAKILENGA MAENEO ya MBALI....
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-03-05
Просмотров: 30450
Описание:
IRAN YAACHIA VIDEO ya UZINDUZI wa MAKOMBORA HATARI 'QADR na EMAD' YAKILENGA MAENEO ya MBALI.... 📍IRAN
@ONESMO SANGALALI - DAR
CC; BAKARI MAHUNDU
Jeshi la Mapinduzi la Iran, linalojulikana kama Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC), limeachia video ya uzinduzi wa makombora ya masafa ya kati aina ya Qadr na Emad yakielekezwa katika malengo yanayodaiwa kuwa ya Marekani na Israel. Video hiyo inaonyesha makombora yakirushwa kutoka kwenye majukwaa ya ardhini wakati wa usiku, yakifuatiwa na milipuko mikubwa ya moto na moshi mzito, huku wanajeshi wakisikika wakitoa amri za operesheni.S
=================================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: