DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 05.03.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-03-05
Просмотров: 24525
Описание:
Dunia yetu leo mchana inatuama
++Mzozo wa Mashariki ya Kati bado unazidi kutokota; Israel imeulenga mji wa Tehran huku Iran ikilenga maeneo ya Israel.
++Kwa mara nyengine Israel imewalenga wanamgambo wa Hezbollah katika mashambulizi yake mjini Beirut
++Bei za mafuta duniani zinaendelea kupanda, na usafirishaji wa baharini unakumbwa na vitisho vinavyotokana na mzozo huo
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: