IRAN YASHAMBULIA UWANJA wa NDEGE wa BEN GURION ISRAEL - NDEGE ZASHINDWA KUTUA - TAHARUKI YATANDA...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-03-05
Просмотров: 17727
Описание:
IRAN YASHAMBULIA UWANJA wa NDEGE wa BEN GURION ISRAEL - NDEGE ZASHINDWA KUTUA - TAHARUKI YATANDA... 📍ISRAEL
@ONESMO SANGALALI - DAR
CC; BAKARI MAHUNDU
Shughuli za ndege katika Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion zilivurugika kwa muda Alhamisi asubuhi kufuatia shambulio jipya la makombora kutoka Iran lililolenga maeneo ya kati ya Israel, tukio lililosababisha ndege moja ya kurejesha raia kushindwa kutua dakika za mwisho kabla ya kugusa ardhi
=================================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: