UJENZI WA BARABARA YA BIGWA - KISAKI KM 78 KWA KIWANGO CHA LAMI MKANDARASI AMESHAPATIKANA
Автор: Wizara ya Ujenzi
Загружено: 2023-11-28
Просмотров: 1321
Описание:
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Mkandarasi atakayetekeleza Ujenzi kwa Kiwango cha lami barabara ya Bigwa – Mvuha – Kisaki (km 133.28), sehemu ya Bigwa – Mvuha (km 78) ameshapatikana na Serikali ipo katika hatua za Mwisho za kusaini Mkataba wa Ujenzi wa sehemu hiyo ya barabara.
Bashungwa ameeleza hayo kwa njia ya simu wakati akizungumza na Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Mhe. Hamis Taletale, wakati alipoombwa kutoa ufafanuzi kwa wananchi wa kata ya Mkuyuni wilayani Morogoro Vijijini kuhusu ujenzi wa barabara hiyo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: