Kampuni tano kuchuana mkataba wa kutengeneza barabara ya Kibaha - Morogoro
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-08-25
Просмотров: 2290
Описание:
Kampuni tano zimeshaingia kwenye hatua ya manunuzi ili kushinda zabuni ya ujenzi wa barabara ya njia nne zitakazokuwa za kulipia kutoka Kibaha hadi Morogoro ili kuondoa msongamano uliopo.
#kampuni #zabuni #barabara #ujenzi #kibahahadimorogoro #foleni
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: