ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

HII NI AIBU KUBWA/WAZIRI BASHUNGWA AKUTANA NA MAUZA UZA HAYA MAZITO/MOTO WAMUWAKIA MKANDARASI HUYU

Автор: ICON TV TZ

Загружено: 2024-01-25

Просмотров: 7303

Описание: Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameagiza kuondolewa kwa Mhandisi Mshauri LEA Associaties anayesimamia ujenzi wa barabara ya Kitai - Lituhi sehemu ya Amani Makoro-Ruanda (km 35) kwa kiwango cha lami na kuutaka Wakala wa Barabara (TANROADS) kuendelea kusimamia ujenzi huo ili uweze kukamilika.

Pia, ameagiza Mkandarasi anayejenga barabara hiyo China Railway Seventh Group kutopewa miradi mipya mpaka hapo atakapokamilisha miradi aliyopewa katika mkoa wa Mara, Katavi ambayo nayo inaonekana kusuasua.

Bashungwa ametoa agizo hilo leo tarehe 25 Januari 2024 wilayani Mbinga mkoa wa Ruvuma wakati akikagua ujenzi wa barabara hiyo ambapo hajaridhishwa na utekelezaji wake ambao umechelewa kwa asilimia 75 na kusisitiza hatua za kimkataba zichukuliwe dhidi ya Mhandisi Mshauri huyo.

“Nimuagize Katibu Mkuu kuangalia hatua za kimkataba mnazotakiwa kumchukulia haraka Mhandisi Mshauri kwasababu ameshindwa kumsimamia Mkandarasi kukamilisha mradi huu kwa wakati”,amesisitiza Waziri Bashungwa.

Bashungwa amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alishatoa Bilioni 6.9 ambayo imekamilisha kipande cha kwanza cha kilometa 5 kutoka Kitai hadi Amani Makoro na Bilioni 60 kwa ajili ya muendelezo wa barabara hiyo sehemu ya Amani Makoro - Ruanda.

“Kiasi cha Shilingi Bilioni 155 zimetengwa ajili ya mradi mzima wa ujenzi wa barabara kuanzia Kitai - Lihuli - Bandari ya Ndumbi”, amefafanua Bashungwa.

Bashungwa ameagiza TANROADS kutoendelea kulimbikiza miradi kwa Wakandarasi kwani ndiyo inafanya miradi mingi kuchelewa na mingine ikiwa ya kimkakati na kiuchumi kwa wananchi na Taifa kwa ujumla.

Akitoa taarifa ya mradi, Kaimu Mkurugenzi wa Miradi kutoka TANROADS, Mhandisi Jephason Nko, amesema kuwa maendeleo ya mradi huo mpaka sasa umefikia asilimia 25 ikilinganishwa na asilimia 100 ambapo mradi huo ulitakiwa kukamilika Disemba, 2023.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma , Kanali Labani Thomas, amesema kuwa Mchuchuma na Liganga wanaitegemea barabara hii kwani ndio barabara muhimu na ni kiunganishi cha kutoka Mkoa wa Ruvuma kupitia Nyasa kwenda mkoani Njombe kupitia Ludewa.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Ruvuma, Komred Oddo Mwisho, amesema kuwa barabara hiyo ni kiungo muhimu kati ya Wilaya ya Nyasa-Mbinga kwani ndipo uchimbaji mkubwa wa makaa ya mawe yanapofanyika na kwa siku takribani magari 400 hadi 500 yanapita katika barabara hiyo kuyasafirisha kuelekea maeneo mbalimbali.

Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini, Mhe. Benaya kapinga, amesema kuwa kilio kikubwa cha Wananchi wa Amani - makoro hadi Ruanda ni kupata barabara kwa kiwango cha lami ili kuchochea maendeleo ya wananchi.

Waziri Bashungwa yupo mkoani Ruvuma katika ziara yake ya kikazi ambapo atakagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya barabara na madaraja.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
HII NI AIBU KUBWA/WAZIRI BASHUNGWA AKUTANA NA MAUZA UZA HAYA MAZITO/MOTO WAMUWAKIA MKANDARASI HUYU

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

BASHUNGWA AAGIZA KUKAMATWA KWA MKANDARASI ANAYEJENGA DARAJA LA MPIJI CHINI - DAR

BASHUNGWA AAGIZA KUKAMATWA KWA MKANDARASI ANAYEJENGA DARAJA LA MPIJI CHINI - DAR

MADUDU MAZITO WAZIRI BASHUNGWA AWAONDOA WATAALAM WOTE WANAOSIMAMIA UJENZI WA BARABARA YA KIBAONI

MADUDU MAZITO WAZIRI BASHUNGWA AWAONDOA WATAALAM WOTE WANAOSIMAMIA UJENZI WA BARABARA YA KIBAONI

🔴#TBCLIVE: KIPINDI MAALUM | TAMU NA CHUNGU ZA BARABARA YA TARIME-NYAMONGO-MAGUMU

🔴#TBCLIVE: KIPINDI MAALUM | TAMU NA CHUNGU ZA BARABARA YA TARIME-NYAMONGO-MAGUMU

BASHUNGWA AWABANA WATAALAM NA MKANDARASI SITE,

BASHUNGWA AWABANA WATAALAM NA MKANDARASI SITE, "NAWEZA KUFUKUZA TIMU YOTE"

VITUKO! WAZIRI AMKUTA MKANDARASI FEKI SITE, AMESOMEA FALSAFA

VITUKO! WAZIRI AMKUTA MKANDARASI FEKI SITE, AMESOMEA FALSAFA "WEWE TUNAONDOKA WOTE"

HOTUBA YA JAJI MKUU WA  TANZANIA WAKATI WA UFUNGUZI WA KIKAO CHA MWAKA CHA MAJAJI WAFAWIDHI

HOTUBA YA JAJI MKUU WA TANZANIA WAKATI WA UFUNGUZI WA KIKAO CHA MWAKA CHA MAJAJI WAFAWIDHI

MIUNDOMBINU YA BARABARA ILIYOATHIRIWA NA MVUA RUKWA KUREKEBISHWA

MIUNDOMBINU YA BARABARA ILIYOATHIRIWA NA MVUA RUKWA KUREKEBISHWA

WAZIRI BASHUNGWA AKAGUA BARABARA YA MATAI - TATANDA, AAGIZA MKANDARASI KUSIMAMIWA KIKAMILIFU

WAZIRI BASHUNGWA AKAGUA BARABARA YA MATAI - TATANDA, AAGIZA MKANDARASI KUSIMAMIWA KIKAMILIFU

UCHAMBUZI: SABABU ZA BASHUNGWA KUHAMISHWA WIZARA MARA KWA MARA -

UCHAMBUZI: SABABU ZA BASHUNGWA KUHAMISHWA WIZARA MARA KWA MARA - "MIAKA 4 WIZARA 5 TOFAUTI"

Dkt. Magufuli awafichua waliozuia kujengwa kwa bwawa la Nyerere | Wanaona gere, wanaona wivu

Dkt. Magufuli awafichua waliozuia kujengwa kwa bwawa la Nyerere | Wanaona gere, wanaona wivu

BASHUNGWA ATOA MASAA MATATU KUREJESHWA MAWASILIANO YA BARABARA YA MTWARA MASASI ILIYOKATIKA

BASHUNGWA ATOA MASAA MATATU KUREJESHWA MAWASILIANO YA BARABARA YA MTWARA MASASI ILIYOKATIKA

⚡Соловьев признал ПРОВАЛ Путина ПРОСТО В ЭФИРЕ! АПОКАЛИПСИВ в Москве. Ноет из-за

⚡Соловьев признал ПРОВАЛ Путина ПРОСТО В ЭФИРЕ! АПОКАЛИПСИВ в Москве. Ноет из-за "СВОшников"

USIOGOPE KATI YA TSH. MILIONI SITA NA MILIONI MIASITA UNAWEZA KUMILIKI KIWANDA

USIOGOPE KATI YA TSH. MILIONI SITA NA MILIONI MIASITA UNAWEZA KUMILIKI KIWANDA

BASHUNGWA ATOA MASAA MATATU KUREJESHWA MAWASILIANO YA BARABARA YA MTWARA - MASASI ILIYOKATIKA

BASHUNGWA ATOA MASAA MATATU KUREJESHWA MAWASILIANO YA BARABARA YA MTWARA - MASASI ILIYOKATIKA

LISSU APATA USHINDI? UMOJA WA MATAIFA WAIKAANGA SERIKALI BILA HURUMA, WAKILI NSHALA ASHINDWA KUVUM..

LISSU APATA USHINDI? UMOJA WA MATAIFA WAIKAANGA SERIKALI BILA HURUMA, WAKILI NSHALA ASHINDWA KUVUM..

Chiny i Rosja rzuciły Iran wilkom na pożarcie. Czy Iran przetrwa starcie z USA?

Chiny i Rosja rzuciły Iran wilkom na pożarcie. Czy Iran przetrwa starcie z USA?

TABORA MANISPAA YAPOKEA ZAIDI YA SHILINGI BILLIONI 270 MIAKA 4 YA DR. SAMIA/ZIMETUMIKA KATIKA MAENEO

TABORA MANISPAA YAPOKEA ZAIDI YA SHILINGI BILLIONI 270 MIAKA 4 YA DR. SAMIA/ZIMETUMIKA KATIKA MAENEO

Остановит ли союз Турции, Саудовской Аравии и Пакистана Израиль и Индию?

Остановит ли союз Турции, Саудовской Аравии и Пакистана Израиль и Индию?

WANANCHI BUKOBA WALIA UBOVU WA BARABARA

WANANCHI BUKOBA WALIA UBOVU WA BARABARA

Путин испугался, что Украина взорвет «Голубой поток» | В СВР бредят, что Киев получит атомную бомбу

Путин испугался, что Украина взорвет «Голубой поток» | В СВР бредят, что Киев получит атомную бомбу

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]