IEBC yakanusha Marjan Hussein Marjan alipigwa kalamu
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2026-02-04
Просмотров: 2021
Описание:
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na mipaka nchini-IEBC Erastus Ethekon amehakikishia taifa kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka -2027 utakuwa huru na wa kuaminika. Akizungumza wakati wa mkutano wa maombi na staftahi ulioandaliwa na shirikisho la makanisa ya kievanjelisti, Ethekon aliyataja kuwa yasiyo na msingi madai kwamba aliyekuwa afisa mkuu mtendaji wa tume hiyo, Marjan Hussein Marjan alipigwa kalamu, akisema yanaweza kusababisha migawanyiko humu nchini kabla ya uchaguzi mkuu ujao.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: