Kundi la Rastafari lapinga uharamishaji wa bangi, uamuzi kutolewa mwezi Mei
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2026-02-04
Просмотров: 489
Описание:
Mahakama inayoshughulikia kesi za kikatiba Milimani itatoa uamuzi wake mnamo tarehe 27 mwezi huu kwenye kesi kuhusu ombi la kuhalalisha matumizi ya bangi humu nchini. Chama cha Rastafari humu nchini kiliwasilisha kesi mahakamani mnamo mwaka 2021, kikidai kwamba bangi ni sehemu muhimu ya imani yao ya kidini na kuiharamisha kunakiuka haki zao za kikatiba. Na jinsi ripota wetu Ruth Wambui anavyotuarifu, kioja kilishuhudiwa nje ya mahakama wakati mmoja wa wafuasi wa kundi hilo alipojaribu kuingia mahakamani akiwa na mbegu za bangi akidai zilifaa kutumika kama ushahidi kwenye kesi hiyo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: