IBAADA YA SIFA | NLHCC MWANZA | Praise & Worship Experience 🔥
Автор: NLHCC TV Tanzania
Загружено: 2026-02-15
Просмотров: 45
Описание:
Karibu katika IBAADA YA SIFA iliyoandaliwa na New Life And Hope in Christ Church (NLHCC Mwanza). Jiunge nasi katika wakati wa kuinua jina la Bwana kupitia sifa na kuabudu kwa nguvu na ufunuo. Mungu ametenda na ataendelea kutenda! Usisahau ku-like, kushare na kusubscribe ili usipitwe na ibada zijazo.
#IBADAYASIFA #NLHCCMwanza #PraiseAndWorship #SifaNaKuabudu #ChurchOnline #Mwanza #GospelTanzania #WorshipExperience #JesusIsLord
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: