YESU NAKUPENDA U MALI YANGU | Wimbo wa Tenzi wa Sifa na Ibada – NLHCC Mwanza
Автор: NLHCC TV Tanzania
Загружено: 2026-02-13
Просмотров: 202
Описание:
Wimbo wa tenzi YESU NAKUPENDA U MALI YANGU ni wimbo wa sifa na ibada unaomwinua Yesu Kristo kama hazina na mali ya thamani katika maisha ya muumini. Uimbaji huu unaleta ujumbe wa upendo, kujitoa, na kumtegemea Mungu kwa moyo wote.
Sikiliza, barikiwa, na shiriki wimbo huu ili ujumbe wa injili uwafikie wengi zaidi. Usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe kwa nyimbo na mafundisho zaidi ya kiroho.
#YesuNakupenda #TenziZaKikristo#NLHCCMwanza #WimboWaSifa #WimboWaIbada #GospelTanzania #SifaNaIbada #NyimboZaKiroho #YesuKristo #Kanisa
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: