ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

EPISODE 32 : TUNDU LISSU APINGA USHAHIDI WA MAUAJI YA OKTOBA 29 KUINGIZWA KWENYE KESI YA UHAINI

Автор: UHURU MEDIA ONLINE

Загружено: 2026-02-23

Просмотров: 56646

Описание: Updates: Kesi ya Uhaini Inayomkabili Tundu Lissu (Februari 23, 2026)
​Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, inatarajiwa kutoa uamuzi wa kama ni sahihi au la kupokelewa kwa notisi ya ushahidi wa ziada kwenye ushahidi wa shahidi wa 26 katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
​Hoja za Upande wa Jamhuri
​Shauri hilo linasikilizwa na jopo la majaji watatu wakiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru. Mapema leo, upande wa Jamhuri kupitia kwa Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, uliieleza mahakama kuwa unataka kuwasilisha notisi ya ushahidi wa ziada wa shahidi ambaye ni Askari Mpelelezi, ACP Amini Mahamba.
​Wakili Katuga alibainisha yafuatayo:
​Mnamo Februari 18, 2026, waliwasilisha (file) notisi ya kuongeza ushahidi kwa njia ya mtandao kwa mujibu wa kifungu cha 308 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (sura ya 20, mapitio ya 2023).
​Ushahidi huo ni wa nyongeza kwa shahidi ACP Amini Mahamba, ambaye hakuwekwa na kusomwa wakati wa shauri la mwenendo kabidhi (committal proceedings).
​ACP Amini Mahamba ndiye aliyekuwa kiongozi wa timu ya upelelezi wa matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, na kile alichokipata ndicho kilichopo kwenye kiini cha nyongeza hiyo.
​Pingamizi la Tundu Lissu
​Mshitakiwa, Tundu Lissu, ameweka pingamizi dhidi ya kupokelewa kwa ushahidi huo akitoa hoja zifuatazo:
​Kisheria: Kwa mujibu wa kifungu cha 308 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, kinachopaswa kupokelewa ni maelezo ya shahidi ambaye hakuwepo wakati wa mahakama ya ukabidhi, na si kuongeza ushahidi wa shahidi ambaye tayari alishatoa ushahidi wake.
​Muda wa Matukio: Lissu ameeleza kuwa si sahihi kupokea ushahidi huo kwani unazungumzia matukio ya Oktoba 29 na kuendelea, wakati yeye makosa anayoshtakiwa nayo yalitokea Aprili 3, 2025.
​Hali ya Kizuizini: Alikamatwa Aprili 9 na kushtakiwa Aprili 10, 2025, na tangu wakati huo amekuwa akishikiliwa gerezani.
​“Nipo tayari kujadili ya Oktoba 29, watayaweza? Oktoba kulikuwa kuna mauaji ya halaiki na ni magumu,” alisema Lissu.
​Endelea kufuatilia Uhuru Online Media kwa updates zaidi za shauri hili mwanzo hadi mwisho.

#tundulissu #mahakamani #chadema

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
EPISODE 32 : TUNDU LISSU APINGA USHAHIDI WA MAUAJI YA OKTOBA 29 KUINGIZWA KWENYE KESI YA UHAINI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Mfanyakazi wa nyumbani, raia wa Uganda, kunyongwa Syria, katika Dira ya Dunia TV

Mfanyakazi wa nyumbani, raia wa Uganda, kunyongwa Syria, katika Dira ya Dunia TV

HECHE ATEMA CHECHE MAHAKAMANI KESI YA UHAINI YA LISSU, AVURUGWA VIBAYA MNO, WANASUBIRI UAMUZI KESHO

HECHE ATEMA CHECHE MAHAKAMANI KESI YA UHAINI YA LISSU, AVURUGWA VIBAYA MNO, WANASUBIRI UAMUZI KESHO

🔴#LIVE;SUPA BREAKFAST: CHADEMA YAFUNGUKA, HECHE AZUNGUMZA MAZITO / KESI YA LISSU KUUNGURUMA

🔴#LIVE;SUPA BREAKFAST: CHADEMA YAFUNGUKA, HECHE AZUNGUMZA MAZITO / KESI YA LISSU KUUNGURUMA

Leo #MariaSpaces tunajadili: Utawala wa Sheria na usalama wa raia

Leo #MariaSpaces tunajadili: Utawala wa Sheria na usalama wa raia

LISSU AMBANA WAKILI WA SERIKALI -

LISSU AMBANA WAKILI WA SERIKALI - "MNACHUNGUZA VITU GANI KAMA SIO NJAMA NA UZEMBE?"

Marekani yamkujia Samia kwa Uongozi wa kidikteta; UN yataka Lissu kuachiliwa huru na Samia Mara moja

Marekani yamkujia Samia kwa Uongozi wa kidikteta; UN yataka Lissu kuachiliwa huru na Samia Mara moja

Samia Azimwa kenya; Watatu aliotuma kuteka wanaharakati wakamatwa na Polisi na kurushwa Jela kenya

Samia Azimwa kenya; Watatu aliotuma kuteka wanaharakati wakamatwa na Polisi na kurushwa Jela kenya

MAMA AIBUKA NA MALALAMIKO… WAZIRI AMBANIA AFISA ARDHI HAPO HAPO!

MAMA AIBUKA NA MALALAMIKO… WAZIRI AMBANIA AFISA ARDHI HAPO HAPO!

ALICHOKISEMA RAIS ENG. HERSI KWENYE IFTAAR ILIYOANDALIWA GSM - MASAKI

ALICHOKISEMA RAIS ENG. HERSI KWENYE IFTAAR ILIYOANDALIWA GSM - MASAKI

MAZITO YATOKEA KESI YA LISSU, MVUTANO MKALI, LISSU AUWASHA MOTO, KESI YAAHIRISHWA, WAKILI AFUNGUKA

MAZITO YATOKEA KESI YA LISSU, MVUTANO MKALI, LISSU AUWASHA MOTO, KESI YAAHIRISHWA, WAKILI AFUNGUKA

Армия РФ прорвала границу / Главком заявил о резком продвижении

Армия РФ прорвала границу / Главком заявил о резком продвижении

"KAA CHINI WEWE" Lissu Alivyokalishwa kwa Lazima Akikomaa Kujitetea

🚨ЩЕ ОДИН ТЕР@КТ?! Вuбух💥Постраждали поліцейські 😱 | Підсумки 23. 02. 2026

🚨ЩЕ ОДИН ТЕР@КТ?! Вuбух💥Постраждали поліцейські 😱 | Підсумки 23. 02. 2026

TUNDU LISU USHAHIDI MPYA WALETA GUMZO

TUNDU LISU USHAHIDI MPYA WALETA GUMZO

EL Mencho: Muuza Unga Katili aliyeogopwa nchini Mexico na alivyouawa kwa mapambano makali na Jeshi

EL Mencho: Muuza Unga Katili aliyeogopwa nchini Mexico na alivyouawa kwa mapambano makali na Jeshi

EPISODE 31: SHAHIDI AFANDE ABANWA HADI KIJASHO KACHANGANYIKIWA HADI KAOMBA MSAADA KWA MAJAJI! MMH

EPISODE 31: SHAHIDI AFANDE ABANWA HADI KIJASHO KACHANGANYIKIWA HADI KAOMBA MSAADA KWA MAJAJI! MMH

TFF Wafurahi Baada Ya Watekaji Wakitanazania Kukamatwa Kenya !

TFF Wafurahi Baada Ya Watekaji Wakitanazania Kukamatwa Kenya !

BREAKING! Watatu Waliotumwa na SAMIA Kuteka Mwanaharakati Mtanzania KENYA Wakamatwa

BREAKING! Watatu Waliotumwa na SAMIA Kuteka Mwanaharakati Mtanzania KENYA Wakamatwa

АДИЩЕ! Опрос в Москве! Как наказать не согласных с царем? Они не знают как выжить!  | Палата 200

АДИЩЕ! Опрос в Москве! Как наказать не согласных с царем? Они не знают как выжить! | Палата 200

Путин идет на конфронтацию с Трампом: на горизонте --  Карибский кризис 2.0 /№1098/ Юрий Швец

Путин идет на конфронтацию с Трампом: на горизонте -- Карибский кризис 2.0 /№1098/ Юрий Швец

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]