DC Handeni atoa maagizo kuhusu gari la Mkandarasi lililopotea
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2021-12-15
Просмотров: 5938
Описание: Mkuu wa wilaya ya Handeni mkoani Tanga Siriel Mchembe ametoa kauli ya serikali kuhusu kupotea kwa gari la mkandarasi,ambae anajenga barabara ya Afrika Mashariki katika kijiji cha Kwamsisi akiwa na kamati yake ya ulinzi na usalama baada ya kutembelea kambi yao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: