Wanaojenga mradi wa maji wa bilioni 1.9 Handeni walia ‘mauzauza’
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2022-01-06
Просмотров: 3935
Описание:
Mradi wa kuchimba bwawa la maji Kwenkambala wilayani Handeni mkoani Tanga unao gharimu Sh1.99 bilioni umekwama kuendelea kwa madai kuwa ni kutokana na imani za kishirikina kwenye eneo hilo kwa vifaa kuharibika mara kwa mara.
Hayo yamebainishwa na msimamizi wa mradi huo kutoka kampuni ya Civil Loths Construction LTD, Kulwa Juma katika ziara ya kamati ya siasa Mkoa wa Tanga ya kukagua miradi ya maendeleo wilayani Handeni, akisema changamoto waliyonayo ni vifaa kuharibika mara kwa mara.
Juma ametaja changamoto nyingine kuwa ni watumishi wa kampuni hiyo kuripoti kuwa kuna mambo ya ajabu yanaoneka kwenye mradi.
Amesema wapo madereva wanadai kuona vitu vya ajabu ikiwamo nyoka mkubwa anayefuata nyumba greda wakati wakifanya kazi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: