Mwanaharakati aliyuawa hadharani nchini Marekani – Charlie Kirk ni nani hasa?
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2025-09-12
Просмотров: 101964
Описание:
Polisi huko Utah Marekani wametoa picha za mshukiwa mkuu wa mauaji ya mwanaharakati wa kihafidhina na mshirika wa karibu wa rais Donald Trump Charlie Kirk aliyeuawa Jumatano.
-
Polisi wameshapata bunduki iliyofyatua risasi iliyomuua Kirk na sasa wametangaza dola laki moja zawadi ya mtu atakayemtambua mshukiwa mkuu.
-
-
-
#charliekirk #bbcswahili #marekani #donaldjtrump
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: