CHANGAMOTO ZA USHOROBA TUNDURU INAYOUNGANISHA HIFADHI YA SELOU NA HIFADHI YA NIASSA YA MSUMBIJI
Автор: SOPHY TOURS TV
Загружено: 2024-06-17
Просмотров: 47
Описание:
Inaelezwa kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru ipo ndani ya eneo la mapito ya Wanyamapori (Shoroba) inayounganisha hifadhi ya Selou nchini Tanzania na hifadhi ya Niassa ya nchini Msumbiji, jambo ambalo linapelekea kuwapo kwa migongano baina ya Wanyamapori na Binadamu.
JUMA MOHAMED aliyetembelea wilayani Tunduru ameangazia Undani kamili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: