Watumishi wa uhamiaji wafukuzwa kazi kwa kutoa vibali visivyo halali kwa wahamiaji haramu
Автор: Azam TV
Загружено: 2019-03-19
Просмотров: 862
Описание:
Watumishi wawili wa idara ya uhamiaji waliokuwa wakifanya kazi Mkoa wa Kilimanjaro wamefukuzwa kazi na wanatarajiwa kupandishwa kizimbani wakituhumiwa kutoa vibali visivyo halali kwa wahamiaji haramu nchini.
#AzamTVUpdates #AzamTVApp
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: