ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Billion 10 za JPM Kuanza Kujenga Makao Makuu Uhamiaji Dodoma

Автор: Global TV Online

Загружено: 2018-03-15

Просмотров: 7342

Описание: Billion 10 za JPM Kuanza Kujenga Makao Makuu Uhamiaji Dodoma

Waziri wa mambo ya ndani, Dr Mwigulu Nchemba ametembelea eneo la Mtaa wa NCC lililopo Manispaa ya Dodoma mjini, mkoani humo ambapo ndipo patajengwa Ofisi za makao makuu ya Idara ya uhamiaji.

Tayari Rais Dr John Magufuli ameshatoa kwa idara hiyo Sh bilioni 10 na kwamba ujenzi wa ofisi hizo unatarajiwa kuanza hivi karibuni.

Akizungumza wakati alipotembelea ofisi hizo leo, Dr Mwigulu amemshukuru Mheshimiwa Rais, kwa kuwapa fedha hizo ambzo ni Sh bilioni 10 kwa ajili ya ujenzi makao makuu ya Uhamiaji.
Amesema tayari kwasasa eneo kubwa lenye mita za mraba 9,777 limepatikana kwa ajili ya kujenga jengo kubwa na la kisasa kwa idara hiyo.

"Eneo limeshapatika kubwa la kutosha la kujenga ofisi ya kisasa kama ambavyo muheshimiwa Rais amesemea wakati anatuhaidi kutupa fedha hizi sasa tumepata eneo la kutosha ambalo lipo karibu na ofisi zote muhimu kama vitambulisho vya Taifa,zimamoto na ofisi zingine za serikali ambapo itasaidia kama mtu akifika uhamiaji anaweza kupata zingine ambazo zipo karibu". Aliongeza waziri mwigulu.

Waziri mwigulu ametoa rai kwa idara ya uhamiaji kuendelea kuchapa kazi kwa bidii kwani kuchapa kazi kwao ndio kumefanya wao kupata fedha hizo za ujenzi kwa haraka na fedha za kununua nyumba za makazi ya askari Dodoma kwani kama wangefata kupata fedha katika bajeti ya wizara ingechukua mda mrefu kupatikana fedha hizo hivyo kufanya kazi kwao vizuri kunamfanya hata yeye kuwa waziri wa mamboya ndani mzuri.

Naye, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dr Anna Makakala amemshukuru muheshimiwa Rais Dr John magufuli kwa kuwapa fedha hizo kujenga jengo la kisasa na mpaka sasa wameshapa eneo kubwa kabisa ambalo litawawezesha kupata mahitaji yote.
"Sisi kama idara tunajukumu la kufata taratibu zote kwa haraka iwezeka nanvyo ili jengo hili ndani ya mwaka wa fedha ujao liweze kukamilika kwasababu kama fedha ni zipo".alisema Dr Anna.

Subscribe muda huu    / uwazi1  
Install #GlobalPublishersApp
Android: http://bit.ly/2AAQe1d
iOS: http://apple.co/2Assf4M
Subscribe    / uwazi  

FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1   Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli  .

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Billion 10 za JPM Kuanza Kujenga Makao Makuu Uhamiaji Dodoma

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

#NENO LA KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI DKT. ANNA MAKAKALA KATIKA HAFLA YA KUFUNGA MAFUNZO YA UONGOZI

#NENO LA KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI DKT. ANNA MAKAKALA KATIKA HAFLA YA KUFUNGA MAFUNZO YA UONGOZI

MKUFUNZI NA MUHASIBU WA CHUO WASWEKWA NDANI

MKUFUNZI NA MUHASIBU WA CHUO WASWEKWA NDANI

HAFLA YA UZINDUZI WA MJI MPYA WA SERIKALI - MTUMBA DODOMA

HAFLA YA UZINDUZI WA MJI MPYA WA SERIKALI - MTUMBA DODOMA

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 03.03.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 03.03.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast

Fursa za mafunzo ya Uandaaji wa Chakula kutoka VETA Dodoma.......

Fursa za mafunzo ya Uandaaji wa Chakula kutoka VETA Dodoma.......

Muhasibu

Muhasibu "Bilionea" wa TAKUKURU alivyofikishwa Mahakamani

MAKOMBORA ya IRAN YAACHA ALAMA ISRAEL - UHARIBIFU MKUBWA - NYUMBA na MAGARI...📍ISRAEL

MAKOMBORA ya IRAN YAACHA ALAMA ISRAEL - UHARIBIFU MKUBWA - NYUMBA na MAGARI...📍ISRAEL

Tazama ukakamavu wa Askari wa uhamiaji waliomaliza mafunzo wakipewa vyeti na Rais Samia

Tazama ukakamavu wa Askari wa uhamiaji waliomaliza mafunzo wakipewa vyeti na Rais Samia

#Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar Aongoza Zoezi la Upimaji Afya ya Macho Kwa Maofisa na Askari

#Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar Aongoza Zoezi la Upimaji Afya ya Macho Kwa Maofisa na Askari

RAIS MAGUFULI ATINGA JENGO LA UHAMIAJI LA DODOMA, KUKAGUA UJENZI..

RAIS MAGUFULI ATINGA JENGO LA UHAMIAJI LA DODOMA, KUKAGUA UJENZI..

Mfanyabiashara Davis Mosha akamatwa na Askari wa Uhamiaji

Mfanyabiashara Davis Mosha akamatwa na Askari wa Uhamiaji

VIONGOZI wa ZANZIBAR WALIOISHTAKI CHADEMA WAFUNGUKA MAZITO - MSIMAMO WAO MKALI UPO PALEPALE...

VIONGOZI wa ZANZIBAR WALIOISHTAKI CHADEMA WAFUNGUKA MAZITO - MSIMAMO WAO MKALI UPO PALEPALE...

"SGR KUUNGANISHA DAR NA DODOMA TUNAMPONGEZA RAIS SAMIA, TUTAFIKA MAKUTUPORA HIVI KARIBUNI"

#TAZAMA| UPEKEE WA SOKO LA MACHINGA DODOMA, WABUNGE WAKOSHWA

#TAZAMA| UPEKEE WA SOKO LA MACHINGA DODOMA, WABUNGE WAKOSHWA

WABUNGE MBEYA WAPAZA SAUTI UJENZI wa BARABARA MAKONGOLOSI - TABORA na SINGIDA KUWA KIWANGO cha LAMI

WABUNGE MBEYA WAPAZA SAUTI UJENZI wa BARABARA MAKONGOLOSI - TABORA na SINGIDA KUWA KIWANGO cha LAMI

MAGUFULI AKIFUNGUA JENGO LA UHAMIAJI -

MAGUFULI AKIFUNGUA JENGO LA UHAMIAJI - "HII NI AIBU KUBWA"

ГИТЛЕР НЕ СПАЛ 3 НОЧИ: Как УЗБЕКСКИЙ КУЗНЕЦ превратил ОБЫЧНЫЙ МОЛОТ в оружие против 31 ТИГРА

ГИТЛЕР НЕ СПАЛ 3 НОЧИ: Как УЗБЕКСКИЙ КУЗНЕЦ превратил ОБЫЧНЫЙ МОЛОТ в оружие против 31 ТИГРА

BBC SWAHILI HALI INAZIDI KUWA TETE MASHARIKI YA KATI

BBC SWAHILI HALI INAZIDI KUWA TETE MASHARIKI YA KATI

KINACHOENDELEA JIONI HII VITA YA IRAN/ISRAEL HAWAAMINI/ IRAN YATOA TAMKO...

KINACHOENDELEA JIONI HII VITA YA IRAN/ISRAEL HAWAAMINI/ IRAN YATOA TAMKO...

ZEMBWELA, KITENGE WAWALIPUA 'MCHWA WA TAMISEMI', HANDO AANGUA KICHEKO

ZEMBWELA, KITENGE WAWALIPUA 'MCHWA WA TAMISEMI', HANDO AANGUA KICHEKO

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]