WIMBO WALIOIMBA WAHAMIAJI WASIO NA VIBALI 67 WALIOTOKA BURUNDI KUJA KUTAFUTA KAZI TANZANIA
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-06-09
Просмотров: 11553
Описание:
Idara ya uhamiaji Mkoani Geita inawashikiria wahamiaji 67 kutoka Nchini Burundi na wengine kutokea Rwanda ambao wameingia kinyume cha sheria kwa lengo la kuja kutafta kazi.
Akitoa taarifa hiyo Ofisini kwake Kamishna Msaidizi Idara ya uhamiaji Emmanuel Christopher amesema vijana hao wamekamatwa katika maeneo tofauti ya wilaya ikiwemo Geita Mji, Nyang'hwale, Bukombe na Chato.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: