Adakwa akituhumiwa kusafirisha wahamiaji haramu
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2022-06-12
Просмотров: 5452
Описание:
oachim Joseph (38) anashikiliwa na Jeshi la polisi kwa kosa la kutumia namba za usajili za gari ya Mashirika ya umma na kusafirisha wahamiaji haramu.
Akizungumzia tukio hilo leo Juni 12, 2022 Kamanda wa polisi Mkoa wa Dodoma Martin Otieno, amesema Jeshi linaendelea na uchunguzi kubaini washirika wake, mahali alipopata namba hizo na kiongozi wa msafara wa wahamiaji hao ambaye alifanikiwa kutoroka.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: