KUJUMULISHA SEHEMU ZENYE ASILI TOFAUTI | SOMO LA 4 | DARASA LA 5,6,7
Автор: WALTER Mapunga
Загружено: 2026-02-17
Просмотров: 32
Описание:
Karibu tena kwenye mfululizo wetu wa HESABU! 😊
Leo ni SOMO LA 4 la mada yetu ya KUJUMULISHA SEHEMU ZENYE ASILI TOFAUTI. Katika somo hili, tunajifunza namna ya kutengeneza asili kuwa moja kwa kutumia kuzidisha.
📚 Mifano tutakayojifunza:
1. 20/50 + 3/25 =
2. 7/9 + 10/27 =
3. 2/3 + 1/9 + 1/18 =
4. 15/30 + 45/90 =
5. 3/8 + 2/6 =
🔢 Utakayojifunza:
· Kutafuta asili sawa kwa kuzidisha
· Kubadilisha sehemu kuwa na asili moja
· Kujumlisha nambari baada ya kuleta kwa asili sawa
· Kurahisisha jibu la mwisho
Video hii inawafaa wanafunzi wa darasa la 5, 6 na 7, na pia wale wote wanaotaka kuimarisha ujuzi wao wa sehemu.
🔔 USISAHAU:
✅ LIKE ikiwa video imekusaidia
✅ SHARE na marafiki zako
✅ SUBSCRIBE kwa video mpya kila wiki
✅ Bonyeza kengele ili upate arifa
#HesabuDarasa6 #KujumlishaSehemu
#KujumlishaSehemu
#SehemuZenyeAsiliTofauti
#HesabuDarasa5
#HesabuDarasa7
#ElimuTanzania
#SomolaHesabu
#Sehemu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: