SOMO LA 10: Kujumlisha Namba Mchanganyiko | Darasa la 5, 6 na 7 | Hisabati Tanzania
Автор: WALTER Mapunga
Загружено: 2026-02-28
Просмотров: 11
Описание:
Karibu kwenye kipindi cha leo cha Hisabati 🇹🇿
Katika SOMO LA 10 tunajifunza jinsi ya KUJUMLISHA NAMBA MCHANGANYIKO kwa hatua rahisi na kueleweka.
Somo hili linafaa kwa:
Darasa la 5
Darasa la 6
Darasa la 7
Utajifunza: • Jinsi ya kubadili namba mchanganyiko kuwa sehemu isiyo kamili
• Njia rahisi ya kujumlisha
• Hatua za kupata jibu sahihi
Andika majibu yako kwenye maoni 👇
Subscribe ili usikose masomo zaidi ya Hisabati kwa mtaala wa Tanzania.
#HisabatiRahisi #DarasaLa5 #DarasaLa6 #DarasaLa7
#Hisabati #ElimuTanzania #DarasaLa6 #NambaMchanganyiko
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: