KUTOA SEHEMU ZENYE ASILI TOFAUTI | Darasa la 5,6,7 | Kwa Kutumia KDS | Mifano 5
Автор: WALTER Mapunga
Загружено: 2026-02-18
Просмотров: 29
Описание:
SOMO LA 06: KUTOA SEHEMU ZENYE ASILI TOFAUTI
Darasa la 5, 6 na 7 | Hesabu ya Sehemu
Katika somo hili, tutajifunza jinsi ya kutoa sehemu zenye asili tofaut.
Mifano tutakayojadili:
1. 3/5 - 1/4 =
2. 3/4 - 4/9 =
3. 5/6 - 4/7 =
4. 6/8 - 2/5 =
5. 6/7 - 4/14 =
Utakayojifunza:
· Kutafuta KDS
· Kubadilisha sehemu kuwa na asili moja
· Kutoa nambari na kurahisisha jibu
· Kuthibitisha kama jibu linaweza kurahisishwa zaidi
Video hii inafaa kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, pamoja na wazazi wanaowasaidia watoto wao kwenye somo la hesabu.
Usisahau Kujiunga na Channel yetu:
Bonyeza SUBSCRIBE na LIKE video hii ikiwa imekusaidia. Washa KENGELE ili upate taarifa za video mpya kila wiki!
Asante kwa kutazama.
#KutoaSehemu #SehemuZenyeAsiliTofauti #HesabuDarasa5 #HesabuDarasa6 #HesabuDarasa7 #ElimuTanzania #KDS #KigaweChaDhahiriShirikishi #SomolaHesabu #MathematicsInSwahili #ShuleZaMsingi #TanzaniaEducation
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: