ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Mazito Yaibuka Ripoti Ya Wafanyabiashara Wa Kigeni Kariakoo: 'Wako Waliopiga Simu Kuzuia Uchunguzi'

Автор: The Chanzo

Загружено: 2025-03-19

Просмотров: 15286

Описание: Kamati maalum iliyohusika na kuchunguza suala la wageni kufanya biashara zinazotakiwa kufanywa na wazawa Kariakoo. Kamati hiyo imewasilisha ripoti hiyo Machi 17, 2025, kwa Waziri wa Viwanda na Biashara.

Mazito yaliyoibuliwa na kamati ni pamoja na:

🔴Kati ya makampuni 9,380 yaliyosajiliwa Brela ni asilimia 9.2 ambazo wamesajiliwa kwenye kituo cha uwekezaji, 'hali hii inaashiria uwepo wa mianya inayoruhusu wageni kusajiliwa kampuni na kufanya biashara zinazodhaniwa kupaswa kufanywa na wazawa bila ufuatiliaji wa kutosha,' Kamati.

🔴Wageni wanauza bidhaa kwa bei ya chini ya soko hivyo kupunguza uwezo wa wazawa kuhimili ushindani

🔴Wageni wanawaondoa wazawa katika maeneo ya biashara waliyopangisha kwa kulipa kodi kubwa, na kwa kutumia malipo ya ziada yanayojulikana kama kilemba

🔴Wageni kumiliki mnyororo wote wa thamani toka mzigo unapoagizwa mpaka kufika kwa mlaji: Wanaagiza mizigo, na kuitoa bandarini kupitia kampuni za kigeni na kusafirisha kupitia kampuni za kigeni.

🔴NIDA za watumishi wa kitanzania wa makampuni ya wageni kutumika kufungua makampuni, huku Watanzania wakionekana kuwa wamiliki wakati ni wafanyakazi tu.

🔴Kampuni kadhaa za wageni zinafanya kazi mtandaoni bila usajili wala leseni, maduka yote 29 yanayofanya kazi mtandaoni yaliyoangaliwa na kamati hayakua na leseni. Kati ya majukwaa 14 ya mtandaoni, 12 hayakuwa na leseni.

🔴Kamati ilivyoenda kununua bidhaa katika maduka kumi wakati wa uchunguzi, 8 hayakutoa risiti, katika wawili waliotoa risiti, mmoja alitoa ya kughushi.

🔴Wafanyabiashara wengi wa kigeni Kariakoo hawatumii benki, wanafanya malipo kwa kubadilishana bidhaa kati yao.

🔴Katika maduka 75 yaliyotembelewa na kamati Kariakoo, ilibainika kuwa maduka hayo yameajiri wageni 152, ambapo wageni 148 wanauza bidhaa za rejareja.

Unaweza kutufuatilia kupitia;

TWITTER:   / thechanzo  
INSTAGRAM:   / thechanzo  
FACEBOOK:   / thechanzo  
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com

Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105

The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Mazito Yaibuka Ripoti Ya Wafanyabiashara Wa Kigeni Kariakoo: 'Wako Waliopiga Simu Kuzuia Uchunguzi'

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Mwigulu Aeleza Matapeli Walivyotaka Kumuuzia Kiwanja cha Profesa Kabudi Kinyemela

Mwigulu Aeleza Matapeli Walivyotaka Kumuuzia Kiwanja cha Profesa Kabudi Kinyemela

LIVE: SPORTS EXTRA YA  CLOUDS FM I 17.02.2026.

LIVE: SPORTS EXTRA YA CLOUDS FM I 17.02.2026.

SIMBA KUPATA KATIBA MPYA, WAZIRI MAKONDA ATOA MAAGIZO HAYA, KIU YAO KUTIMIA, CROWN SPORTS

SIMBA KUPATA KATIBA MPYA, WAZIRI MAKONDA ATOA MAAGIZO HAYA, KIU YAO KUTIMIA, CROWN SPORTS

Mwenyekiti wa Kitongoji Ahofia Kutekwa-Kuuwawa, Amtaja Mkuu wa Wilaya Mbele ya Waziri Mkuu

Mwenyekiti wa Kitongoji Ahofia Kutekwa-Kuuwawa, Amtaja Mkuu wa Wilaya Mbele ya Waziri Mkuu

Kijana Mbunifu Kigoma Aeleza Namna Alivyoweza Kutengeneza Gesi ya Matumizi Majumbani kwa Mawese

Kijana Mbunifu Kigoma Aeleza Namna Alivyoweza Kutengeneza Gesi ya Matumizi Majumbani kwa Mawese

🔴LIVE: Capital News At 9:30 PM, FEB 17, 2026

🔴LIVE: Capital News At 9:30 PM, FEB 17, 2026

Mbunge KIJA NTEMI:

Mbunge KIJA NTEMI: "NAONGOZA HATA WAPINZANI"/ Katoro INASONGA KWA MAENDELEO!

KWA UCHUNGU MAMA AMWAGA MACHOZI MBELE YA WAZIRI MKUU AKIMWELEZA KESI YAKE YA ARDHI...

KWA UCHUNGU MAMA AMWAGA MACHOZI MBELE YA WAZIRI MKUU AKIMWELEZA KESI YAKE YA ARDHI...

#Live | Waziri Mkuu Akiongea na Watumishi wa Umma Tanga

#Live | Waziri Mkuu Akiongea na Watumishi wa Umma Tanga

Dira Mtaani: Wafunguka Ya Moyoni, Ajira Kupata Huku Mpaka Hela-Rushwa ya Ngono

Dira Mtaani: Wafunguka Ya Moyoni, Ajira Kupata Huku Mpaka Hela-Rushwa ya Ngono

BONI YAI ATEMA NYONGO MAHAKAMANI KESI YA LISSU, AWATWANGA VIKALI MASHAHIDI, AWAITA VITUKO, NI BALAA

BONI YAI ATEMA NYONGO MAHAKAMANI KESI YA LISSU, AWATWANGA VIKALI MASHAHIDI, AWAITA VITUKO, NI BALAA

MKOBA ALIOUBEBA TUNDU LISSU MAHAKAMAN LEO WAWASHANGAZA WANACHADEMA NA WAHUDHULIAJI...

MKOBA ALIOUBEBA TUNDU LISSU MAHAKAMAN LEO WAWASHANGAZA WANACHADEMA NA WAHUDHULIAJI...

MADIWANI WAHESHIMU MIPAKA YA MAJUKUMU KUEPUKA MIGONGANO - RC SENDIGA

MADIWANI WAHESHIMU MIPAKA YA MAJUKUMU KUEPUKA MIGONGANO - RC SENDIGA

Waziri Mkuu Nchemba Aagiza Serikali ya Kijiji Kufutwa Tanga kwa Tuhuma za Kuuza Ardhi Kinyemela

Waziri Mkuu Nchemba Aagiza Serikali ya Kijiji Kufutwa Tanga kwa Tuhuma za Kuuza Ardhi Kinyemela

Uamuzi,  Lissu Kuunganishwa Kwenye Kesi ya Mgawanyo wa Mali Dhidi ya CHADEMA Kutolewa March 3, 2026

Uamuzi, Lissu Kuunganishwa Kwenye Kesi ya Mgawanyo wa Mali Dhidi ya CHADEMA Kutolewa March 3, 2026

WAZIRI MKUU ANAWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA HALMASHAURI

WAZIRI MKUU ANAWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA HALMASHAURI

#Live | Wananchi Wanafunguka Kero Zao kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Tanga

#Live | Wananchi Wanafunguka Kero Zao kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Tanga

Mfumo wa usafirishaji wagonjwa wazua utata Kilwa

Mfumo wa usafirishaji wagonjwa wazua utata Kilwa

Heche Ag'aka Vikali “Wameshindwa Kupanga Mashahidi, Watawezaje Kupanga Uchumi?”

Heche Ag'aka Vikali “Wameshindwa Kupanga Mashahidi, Watawezaje Kupanga Uchumi?”

🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 17, 2026

🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 17, 2026

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]