MADIWANI WAHESHIMU MIPAKA YA MAJUKUMU KUEPUKA MIGONGANO - RC SENDIGA
Автор: A_MEDIA
Загружено: 2026-02-10
Просмотров: 360
Описание:
Mkuu wa mkoa wa manyara Queen Sendiga amewataka madiwani wa Halamashari ya Wilaya ya Kiteto Mkoani humo, kuheshimu mipaka ya majukumu yao ili kuepuka migogano ya kiutendaji na badala yake wajishiriki utatuzi wa migogoro ya ardhi katika kata zao.
Sendiga ametoa kauli hiyo wakati akifungua mafunzo ya uMUongozi na Utawala bora yaliyoandaliwa na Ofisi wa Waziri Mkuu Tamisemi, ambapo amewahimiza kutokuwa chanzo cha migogoro ya ardhi kwenye maeneo yao.
Kwa upande wake mkufunzi wa mafunzo hayo kutoka Tamisemi Yustina Bubinza amesema lengo la mafunzo hayo ni kuwapa miongozo na taratibu za uwendeshaji pamoja kutambua majukumu yao.
Nao baadhi ya madiwani wamesema kupitia mafunzo hayo watakwenda kusimamia vyema maeneo yao na kuhakikisha migogoro hiyo inafika mwisho.
MWUSHO.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: