Mbunge KIJA NTEMI: "NAONGOZA HATA WAPINZANI"/ Katoro INASONGA KWA MAENDELEO!
Автор: MANONGA TV
Загружено: 2026-02-02
Просмотров: 955
Описание: MBUNGE wa Jimbo la Katoro (CCM), Mhe. Eng. Kija Limbu Ntemi amesema katika uongozi wake wa kuwawakilisha wananchi wa jimbo hilo, hatakuwa na ubaguzi wa vyama, kwani maenedeleo ni kwa wananchi wote na kwamba Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, inafanya kazi kubwa katika kuwahudumia wananchi wa Katoro.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: