AJALI YA MTWARA, WATOTO WAMLILIA BABAYAO/ MMOJA NI MWANAFUNZI ASEMA HANA MSAADA TENA KIMASOMO.
Автор: Faida Online TV
Загружено: 2022-07-27
Просмотров: 6411
Описание:
Fatuma Jani na Mwajuma Jani ni kati ya watoto wanne walioachwa na ukiwa baada ya babayao Ndugu Hassani Bakari Jani kufariki dunia jana Julai 26 2022 katika ajali iliyotokea kwenye mlima wa Mji mwema Mkoani Mtwara baada ya gari dogo la shule ya King Devid kuingia kwenye mtaro na kuuwa watu 13 wakiwemo wanafunzi 11.
Marehemu alikuwa ni Dereva wa gari hilo na ameacha watoto wanne na mke mmoja ambae ni mjane kwa sasa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: