MWANAFUNZI WA DARASA LA SABA MTWARA AJINYONGA| JESHI LA POLISI LATHIBITISHA
Автор: Faida Online TV
Загружено: 2026-02-04
Просмотров: 2027
Описание:
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limethibitisha kutokea kwa kifo cha Mtoto aitwae Ayubu Balongo (14) Mkazi wa Kijiji cha Nachua Kata ya Mkunwa Halmashauri ya wilaya ya Mtwara Mkoani humo, aliyekuwa akisoma Darasa la Saba katika Shule ya Msingi Mkunwa ambae amefariki Dunia kwa kujinyonga ndani ya chumba alichokuwa analala.
Kwa mujibu wa Mama mdogo wa Marehemu Bi. Fatuma Chivanga ambae ndiye Mtu wa kwanza kushuhudia Mwili wa Mtoto huyo ukining'inia, amesema tukio hilo limetokea Siku ya Februali 03, 2026 baada ya Mtoto huyo kurudi nyumbani muda wa mapunziko akitokea Shuleni wakati Babu na Bibi yake wakiwa Shambani.
Mwili wa Mtoto huyo umezikwa leo Februali 04, 2026 katika Makaburi ya Kijiji hicho cha Nachua.
SUBSCRIBE YOUTUBE CHANEL YA FAIDA ONLINE TV ILI KUPATA HABARI ZETU
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: