SAMAKI ALIVYOFUKUA KINA CHA BANDARI MTWARA| MZEE WA MIAKA 107 AMESHUHUDIA, AELEZEA KILA KITU HAPA|
Автор: Faida Online TV
Загружено: 2022-08-14
Просмотров: 4413
Описание:
Mzee Alli Mkwewe ni mkazi wa Mtaa wa Rwelu Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara, Amezaliwa Mwaka 1914 na mpaka sasa ana jumla ya miaka 107. Faida Online TV tumemtembelea nyumbani kwake ili kujua kina cha Bandari ya Mtwara kilipatikana vipi.
Hapa anafunguka kwamba mwaka 1949 Samaki aina ya Sale walifukua Bandari hiyo ambayo ilifunguliwa rasmi mwaka 1954.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: