Taharuki Arusha, Wananchi wachoma nyumba ya aliyeshinda kesi.
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2021-07-09
Просмотров: 14445
Описание:
Baadhi ya Wananchi wa Kata ya sokon two, halmashauri ya Arusha leo wamechoma moto nyumba ya Ng'ida Loisulye baada ya kubomoa nyumba ya ndugu yake ,Benjamin Mollel baada ya kudai kushinda Kesi.
Akizungumza na waandishi wa habari akiwa njeya Nyumba yake iliyobomolewa na madalali wa Mahakama Arusha, Mollel amesema Leo Julai 9,2021 mchana ameshangaa kuona polisi na madalali kumefika nyumbani kwake na kubomoa nyumba yake Kwa madai kushindwa Kesi Mahakamani.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: