ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

DC SABAYA AMSWEKA LEMA NDANI, ATAJA SABABU "ANATAFUTA UMAARUFU"

Автор: Global TV Online

Загружено: 2019-11-14

Просмотров: 84091

Описание: DC SABAYA AMSWEKA LEMA NDANI, ATAJA SABABU "ANATAFUTA UMAARUFU"

Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema Mwenyekiti wa Halmashauri ya Hai (Chadema), Helga Mchomvu, leo Alhamisi Novemba 14,2019 wamekamatwa na polisi kwa amri ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Lengai Ole Sabaya.

Akizungumza na GlobaTV Online, Sabaya amethibitisha kukamatwa kwa Lema na Mchomvu.

Sabaya amedai kiini cha kuagiza viongozi hao wakamatwe ni kutokana na kile alichokiita kuendeleza njama zao za kuvuruga amani katika wilaya hiyo na kusababisha taharuki kwa wananchi kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

“Kitendo cha mbunge Lema kutoka Arusha na kuja hapa Hai na kufanya vikao vya siri ni sawa na kuvuka mstari mwekundu na hili sisi kama Serikali hatuwezi kulivumilia. Namtaka Lema ajisalimishe mwenyewe polisi,” amesisitiza Sabaya.

YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
---------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
https://www.youtube.com/playlist?list...

HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
https://www.youtube.com/playlist?list...

GLOBAL RADIO TV:
https://www.youtube.com/playlist?list...

EXCLUSIVE INTERVIEWS:
https://www.youtube.com/playlist?li

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
DC SABAYA AMSWEKA LEMA NDANI, ATAJA SABABU "ANATAFUTA UMAARUFU"

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

PART ONE: LEMA ATUMA UJUMBE MZITO KWA RAIS SAMIA/

PART ONE: LEMA ATUMA UJUMBE MZITO KWA RAIS SAMIA/"TUSIRUDISHE NCHI ILIPOTOKA"

MAPUNDA AFICHUA MAMBO MAZITO YANAYOENDELEA CUF - ATANGAZA NIA ya KUMRITHI LIPUMBA....

MAPUNDA AFICHUA MAMBO MAZITO YANAYOENDELEA CUF - ATANGAZA NIA ya KUMRITHI LIPUMBA....

#EXCLUSIVE: ALIYEGONGWA na MTOTO wa WAZIRI SIMBACHAWENE AFUNGUKA MAPYA -

#EXCLUSIVE: ALIYEGONGWA na MTOTO wa WAZIRI SIMBACHAWENE AFUNGUKA MAPYA - "KAKATAA KUTULIPA"

GOODBLES LEMA AMPIGIA OLE SABAYA NA KUMTAKA AACHE KUTESA WATU

GOODBLES LEMA AMPIGIA OLE SABAYA NA KUMTAKA AACHE KUTESA WATU

DC SABAYA Atinga HOSPITALI Kukataza MADAKTARI Kuzuia MWILI wa MAREHEMU..

DC SABAYA Atinga HOSPITALI Kukataza MADAKTARI Kuzuia MWILI wa MAREHEMU..

"WAZIRI NILITEGEMEA UWE UMEJIUZULU" - LEMA BILA KUPEPESA AMWAMBIA MASAUNI KATIKATI YA MSIBA

⚡️АСЛАНЯН: Путин и Си ЗАДУМАЛИ страшное! Послушайте, к чему ГОТОВЯТСЯ! Ким Чен Ын НАТВОРИЛ дел!

⚡️АСЛАНЯН: Путин и Си ЗАДУМАЛИ страшное! Послушайте, к чему ГОТОВЯТСЯ! Ким Чен Ын НАТВОРИЛ дел!

UNAYOTAKIWA KUJUA KUHUSU LENGAI OLE SABAYA; KUTOKA UVCCM, U-DC MPAKA JELA

UNAYOTAKIWA KUJUA KUHUSU LENGAI OLE SABAYA; KUTOKA UVCCM, U-DC MPAKA JELA

Godbless Lema Aliamsha Dude Bungeni, Hali ya Hewa Yatibuka

Godbless Lema Aliamsha Dude Bungeni, Hali ya Hewa Yatibuka

DC Sabaya awasha moto aagiza Mkurugenzi akamatwe kwa ubadhirifu wa Milioni 700

DC Sabaya awasha moto aagiza Mkurugenzi akamatwe kwa ubadhirifu wa Milioni 700

Александр Артамонов | Заявление вдовы Эпштейна. Необходимость решительных действий

Александр Артамонов | Заявление вдовы Эпштейна. Необходимость решительных действий

BREAKING:LENGAI OLE SABAYA AHUKUMIWA MIAKA 30 KWENDA JELA

BREAKING:LENGAI OLE SABAYA AHUKUMIWA MIAKA 30 KWENDA JELA

Mabishano ya Lema na mwenyekiti wa Bunge sakata la Lugumi

Mabishano ya Lema na mwenyekiti wa Bunge sakata la Lugumi

Mbunge Godbless Lema asema haogopi Kufa kwasababu atakufa

Mbunge Godbless Lema asema haogopi Kufa kwasababu atakufa

Maneno Magumu ya Lema Msibani kwa Ali Kibao: 'Nimeshakufa Jana, Mke Wangu, Watoto Wanalia'

Maneno Magumu ya Lema Msibani kwa Ali Kibao: 'Nimeshakufa Jana, Mke Wangu, Watoto Wanalia'

Путин и Ильхам Алиев обратились к Си Цзиньпину. 17 февраля

Путин и Ильхам Алиев обратились к Си Цзиньпину. 17 февраля

DC Sabaya uso kwa uso na Mstaafu wa JWTZ /

DC Sabaya uso kwa uso na Mstaafu wa JWTZ / "Mimi ni kichaa mwenzako"

KAKA wa LISU Aibuka KESI ya SABAYA, UTETEZI Wake WATIKISWA MAHAKAMANI, AMGOMEA WAKILI KUSIMAMA...

KAKA wa LISU Aibuka KESI ya SABAYA, UTETEZI Wake WATIKISWA MAHAKAMANI, AMGOMEA WAKILI KUSIMAMA...

DC MURO Amvaa DC SABAYA ''Hukutumwa Kutengeneza Damu''

DC MURO Amvaa DC SABAYA ''Hukutumwa Kutengeneza Damu''

DC SABAYA AWABANA VIONGOZI WALIOCHUKUA KIWANJA CHA SERIKALI

DC SABAYA AWABANA VIONGOZI WALIOCHUKUA KIWANJA CHA SERIKALI "MSISOGELEE"

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]