DC MURO Amvaa DC SABAYA ''Hukutumwa Kutengeneza Damu''
Автор: Global TV Online
Загружено: 2018-12-12
Просмотров: 131444
Описание:
DC MURO Amvaa DC SABAYA ''Hukutumwa Kutengeneza Damu''
Mkuu wa wilaya ya Meru, Jerry Muro, amefanya mkutano na kuzungumza na Wananchi wa Kata ya Sambasha inayoongozwa na Diwani wake, Lengai Ole Sabaya.
DC Muro amewaambia wananchi wa kata hiyo kuwa Diwani wao Sabaya ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Hai, ni jembe na anamuamini katika kuwaletea maendeleo huku akitoa mfano hai wa mambo aliyoyafanya wilayani kwake mpaka sasa Mafisadi wamenyooka.
#MUROVsSABAYA
Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter:
www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: