KAKA wa LISU Aibuka KESI ya SABAYA, UTETEZI Wake WATIKISWA MAHAKAMANI, AMGOMEA WAKILI KUSIMAMA...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2021-08-18
Просмотров: 187127
Описание:
KAKA wa LISU Aibuka KESI ya SABAYA, UTETEZI Wake WATIKISWA MAHAKAMANI AMGOMEA WAKILI KUSIMAMA...
Sabaya akiwa mbele ya mahakama upande wakizimba cha kushoto cha mahakama akitazamwa na watu zaidi ya Hamsini waliofika kusikiliza mwenendo wa kesi hiyo mbele yake akitazamana na hakimu odira Amworo Akiwa na miwani na barakoa Mdomoni. Alikumbushwa kuwa yupo chini ya kiapo alichokula siku ya tarehe....
Wakili wa serikali Baraka Mgaya akiwa katikati ya Mahakama Nitajie majina yako yote matatu
Katika hayo majina iambie mahakama majina yapi ni yakwako lipi ni lakwako la baba yako na ukoo wako Sabaya nilakwangu, Ole nila baba yangu na Sabaya ni la ukoo wangu Nitakuwa sahihi nikisema Lengai Ole ni jina lako utakuwa sahihi, Sabaya. Hautakuwa sahihi....
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: