SEHEMU YA KIPINDI CHA POWER BREAFAST CLOUDS FM 03/12/2024
Автор: Tanzania Civil Aviation Authority - TCAA TV
Загружено: 2024-12-03
Просмотров: 78
Описание:
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ni taasisi ya umma yenye jukumu la kudhibiti sekta ya usafiri wa anga katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka iliundwa kwa Sheria ya Usafiri wa Anga, Sura ya 80 (R.E 2006).
Majukumu ya kisheria ya Mamlaka ni kudhibiti masuala ya ki-usalama, ki-uchumi katika usafiri wa anga na kutoa huduma za uongozaji ndege.
Pia Mamlaka inatoa huduma za uongozaji ndege kwenye vituo vya ndege kumi na nne (15) ambavyo ni: Dar es Salaam, Kilimanjaro,Tanga, Arusha, Mwanza,Tabora,Kigoma, Dodoma, Iringa, Songwe, Songea, Mtwara, Zanzibar ,Pemba na Bukoba.
Video Credit Clouds FM
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: