PART 1: UTENGENEZAJI WA CHAKULA CHA KUKU WA MAYAI (CHICK STARTER)
Автор: Frida Homestead
Загружено: 2023-03-15
Просмотров: 21180
Описание: Kuku kama wanyama wengine wanahitaji vyakula vyenye virutubisho vyote muhimu ili kuweza kufanya uzalishaji bora. Video hii imeandaliwa kwa lengo la kuweza kumfanya mkulima aweze kujitengenezea chakula cha kuku wake mwenyewe ili kuweza kupunguza gharama za uzalishaji. Sehemu ya kwanza in jinsi ya kutengeniza chakula cha vifaranga.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: