KUKU WA MAYAI, UFUGAJI KIBIASHARA, CAGE, CHAKULA CHA KUKU, CHANJO KWA WAKATI, MIEZI YA KUTAGA
Автор: KilimoPro Tanzania
Загружено: 2023-09-01
Просмотров: 33487
Описание:
Mayai ni moja ya vitu muhimu kukamilisha mlo kamili, wazalishaji wa mayai haya ni Kuku (Kuku wa Mayai) ambao inahitajika matunzo mazuri ili waweze kutaga vyema na kwa kiwango kizuri ambacho kitaleta faida na manufaa kwa mfugaji na mlaji. Karibu tujumuike pamoja kupata elimu hii muhimu juu ya ufugaji wa Kuku wa mayai na Teknolojia yake.
Wasiliana Nasi
@KilimoProTanzania
0715 866 027
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: