Kutengeneza chakula cha kuku wanaokua (Grower feed)
Автор: jomg farm
Загружено: 2025-03-06
Просмотров: 2096
Описание:
Kutengeneza chakula cha kuku wanaokua(stater feed)
Maitaji katika kilo 100
1. Alizeti kilo 20
2. Damu kilo 5
3. Uduvi kilo 10
4. Maindi(Paraza) kilo 20
5. Pumba kilo 38
6. Mifupa ya baharini kilo 4
7. Chokaa kilo 2
8. Grower Premix kilo 1
Tupo Dar Pugu kwa Raisi
Mawasiliano: 0753571633
#poultryfarming #birds #chicken
#chicks #farming #kuku #poultryfeed
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: