Kipi Bora: ELIMU au PESA? | LENZI | Michael Kamukulu
Автор: LENZI | Michael Kamukulu
Загружено: 2023-12-23
Просмотров: 1732
Описание:
Kipi ni bora kati ya Elimu na Pesa?
Hakuna bora zaidi ya kingine. Ukweli ni kwamba Elimu na pesa vinategemeana.
Hatusomi ili kuvaa majoho, wala hatuwezi kula vyeti, vitabu na makaratasi, tunahitaji pesa inayoendana na kiwango cha elimu na maarifa yetu.
Mtu yeyote anahitaji elimu sahihi itakayomwezesha kupata fedha itakayokidhi mahitaji yake. Pesa haitengenezwi kwa ujinga. Kama kuna maarifa ambayo mtu hana, anaweza kutumia pesa kumlipa mtu mwingine mwenye maarifa hayo ili amfanyie kazi anayohitaji.
Tunahitaji elimu rasmi na ile ambayo haiko kwenye mifumo rasmi ili tuweze kufikia malengo yetu kifedha
Jifunze zaidi na Michael Kamukulu kupitia LENZI @lenzi.michaelkamukulu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: