ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

ISHARA 10 KWAMBA UMEKOMAA KIUPEO, KIAKILI, KIFIKRA NA KIMTAZAMO

Автор: LENZI | Michael Kamukulu

Загружено: 2025-02-01

Просмотров: 8535

Описание: Watu wengi huamini kuwa ukomavu huja na umri, lakini ukweli ni kwamba ukomavu uko kwenye uwezo wako na jinsi unavyoshughulikia na kuzikabili changamoto za maisha ya kila siku. Waonyeshe ukomavu wale wanaohitaji kuwa chini ya ushawishi wako.

Je, unazijua ishara 10 zinazokusaida kujua kama umekomaa kiupeo, kifikra, kiakili ana kimtazamo?
Katika video hii, tunazichambua hizo ishara 10 za ukomavu kwenye maeneo ya akili, upeo, fikra na mtazamo. Unagana na Michael Kamukulu kupitia ‪@lenzi.michaelkamukulu‬ na ‪@lenzimeacademy‬ upate kujifunza zaidi.

Unahitaji kuwa na mipango ya mafanikio inayokupa matokeo kwenye maamuzi unayofanya kwa ajili ya maisha yako ya kila sku wewe na watu wako wa karibu. Huwezi kuwa mtu mkubwa, mtu wa pekee au mtu wa tofauti bila kuwa na ukomavu kwenye maeneo ya msingi.

Unahitaji ukomavu kifikra na kiupeo ili kuweza kufikia hatua na viwango vya juu vya mafanikio na matokeo kwenye maeneo ya kifedha, kiutawala, kiumiliki na kiushawishi. Na ukishakuwa kinara kileleni kwenye eneo lako la mafanikio, unahitaji pia kuwa na ukomavu na uwezo wa kudumu na kuendeleza ukuaji wako na mafanikio yake katika maeneo hayo.

Pesa inakaa kwa wenye ukomavu wa kipesa, mahusiano yenye kudumu yanapatikana kwa wenye ukomavu kwenye eneo la mahusiano.

Ukifikia kiwango hiki cha ukomavu, maisha yako yanabadilika kwa kiasi kikubwa – unakuwa na amani, unajiamini zaidi, na unajua nini kinastahili muda wako.

Jifunze jinsi ya kufanya ili uwe tofauti, na upate fursa na nafasi ya kuinuka na kusimama imara ukiwa kiongozi na mwongoza njia wa maisha yako na kuwa na ushawishi kwa watu wengi. Pata maarifa na ujuzi utakaokubadilisha na kuwa na tabia za watu wenye mafanikio na matokeo makubwa kifedha na kimaisha kwa ujumla. Ni wakati wako kung'ara na kuwa mtu wa thamani zaidi kwa wengine na kwa maisha yako. Utajiri na umasikini vyote viko kwenye nguvu ya tabia, mienendo na maamuzi yako ya kila siku.

📌 Unapojitambua, unajifunza:
✅ Kutopoteza muda kwa ushindani usio na maana
✅ Kuthamini faragha yako na kuchagua marafiki wa kweli
✅ Kuwa msikilizaji mzuri na kupokea maoni kwa busara
✅ Kutanguliza furaha yako na kuheshimu maamuzi yako

Tazama video hi hadi mwisho ili upate mafunzo yote muhimu.

🔔 Usisahau:
✔️ Ku-like, ku-subscribe, na kushare na wengine!
✔️ Kuweka maoni yako—ni ipi ishara inayokuvutia zaidi?

———————————————
Wasiliana nasi kwa huduma zaidi ikiwemo:

1. Mafunzo na mwongozo maalum wa kufikia malengo (personal/individual coaching)
2. Mafunzo na mwongozo maalum kwa makundi na taasisi (group coaching)
3. Ushauri wa kitaalam kuhusu maendeleo binafsi (personal development)

Mawasiliano yetu:
Simu: +255 752 465 039
Baruapepe: [email protected]

* *

Pata Kozi Kuhusu jinsi ya kujiajiri na kuongeza kipato kwa kutumia MAUDHUI kwa bei nafuu ya TZS 15,000 tu kupitia hapa https://tr.ee/UTrb-ghbfk

#HatuaMojaMbeleKilaSiku #michaelkamukulu #lenzimindset #lenziacademy

* *

⏳ Time Stamps:
00:00 Ishara 10 za ukomavu
00:20 1. Haushindani na watu
01:06 2. Hufuatilii mambo ya watu
01:42 3. Furaha yako ni jukumu lako
02:18 4. Unatabasamu mbele ya wabaya wako
02:41 5. Utaheshimu maamuzi yako
03:21 6. Hautavumilia mahusiano yasiyo na faida
03:57 7. Utakuwa msikilizaji
04:21 8. Hautalazimisha kukubalika
04:56 9. Utajengeka kwenye nyakati ngumu
05:37 10. Utathamini faragha yako

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
ISHARA 10 KWAMBA UMEKOMAA KIUPEO, KIAKILI, KIFIKRA NA KIMTAZAMO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Jinsi ya Kupata Upya Mwelekeo wa Maisha Yako | Michael Kamukulu

Jinsi ya Kupata Upya Mwelekeo wa Maisha Yako | Michael Kamukulu

Jinsi ya Kuongeza Mvuto kwa Watu ili Wakupende zaidi (Mbinu 10 za kuwa mtu tofauti mwenye kibali)

Jinsi ya Kuongeza Mvuto kwa Watu ili Wakupende zaidi (Mbinu 10 za kuwa mtu tofauti mwenye kibali)

NJIA 7 ZA KUWA MTU MKUBWA NA KUKAA JUU KILELENI (MTU WA TOFAUTI MWAKA 2025)

NJIA 7 ZA KUWA MTU MKUBWA NA KUKAA JUU KILELENI (MTU WA TOFAUTI MWAKA 2025)

TUMIA KANUNI HII YA OPM KUPATA UTAJIRI MKUBWA | Victor Mwambene.

TUMIA KANUNI HII YA OPM KUPATA UTAJIRI MKUBWA | Victor Mwambene.

Aina Za Ndugu -  Joel Nanauka

Aina Za Ndugu - Joel Nanauka

JIWEKEE MIPAKA INAYOLINDA MASLAHI YA MAFANIKIO YAKO KWENYE MAISHA | Michael Kamukulu

JIWEKEE MIPAKA INAYOLINDA MASLAHI YA MAFANIKIO YAKO KWENYE MAISHA | Michael Kamukulu

Usidanganywe na Sura Ya Upole (Usipotezwe na siri za watu wapole)

Usidanganywe na Sura Ya Upole (Usipotezwe na siri za watu wapole)

Yasiyosemwa Kuhusu Kujiamini

Yasiyosemwa Kuhusu Kujiamini

SIRI 5 KUANZA NA KUFANIKIWA KWENYE KITU CHOCHOTE KWENYE MAISHA (Safari ya NDOTO zako)

SIRI 5 KUANZA NA KUFANIKIWA KWENYE KITU CHOCHOTE KWENYE MAISHA (Safari ya NDOTO zako)

MAKOSA 10 YA KIPESA UNATAKIWA KUEPUKA | Michael Kamukulu - LENZI

MAKOSA 10 YA KIPESA UNATAKIWA KUEPUKA | Michael Kamukulu - LENZI

Madhara ya Kukosa NIDHAMU YA PESA (Tabia 6 Mbaya kwenye Fedha)

Madhara ya Kukosa NIDHAMU YA PESA (Tabia 6 Mbaya kwenye Fedha)

Dr. Chris Mauki: Mambo 6 ya kuzingatia unapotaka kubadili/kuacha kazi

Dr. Chris Mauki: Mambo 6 ya kuzingatia unapotaka kubadili/kuacha kazi

MUDA SIO PESA (Time is NOT Money) | LENZI | Michael Kamukulu

MUDA SIO PESA (Time is NOT Money) | LENZI | Michael Kamukulu

NGUVU YA AKIBA: Hatua Muhimu Katika Kuweka Akiba Salama Ya Kifedha | Michael Kamukulu

NGUVU YA AKIBA: Hatua Muhimu Katika Kuweka Akiba Salama Ya Kifedha | Michael Kamukulu

Jinsi ya Kuacha Tabia Ambazo Zinakusumbua na Huzipendi | Michael Kamukulu

Jinsi ya Kuacha Tabia Ambazo Zinakusumbua na Huzipendi | Michael Kamukulu

Uhuru wa KIFEDHA (Misingi na Kanuni 8 unazotakiwa Kuzingatia) | Michael Kamukulu - LENZI

Uhuru wa KIFEDHA (Misingi na Kanuni 8 unazotakiwa Kuzingatia) | Michael Kamukulu - LENZI

UKIOTA NA PANZI INA KUONESHA UTAKUWA NA UGUMU WA KIFEDHA.  PT 1

UKIOTA NA PANZI INA KUONESHA UTAKUWA NA UGUMU WA KIFEDHA. PT 1

ATHARI 3 ZA KUNG'ANG'ANIA MAHUSIANO. #mapenzi #uaminifu #usaliti #upendo

ATHARI 3 ZA KUNG'ANG'ANIA MAHUSIANO. #mapenzi #uaminifu #usaliti #upendo

ISHARA ZA MWANAUME ANAETAKA KUOA. #mapenzi #ndoa #uaminifu #upendo

ISHARA ZA MWANAUME ANAETAKA KUOA. #mapenzi #ndoa #uaminifu #upendo

Jinsi ya Kuwa Jasiri na Kuondoa Hofu Hatua kwa Hatua

Jinsi ya Kuwa Jasiri na Kuondoa Hofu Hatua kwa Hatua

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]